Nimegundua Mabinti Wanashindwa Kutofautisha Mume na Boyfriend-JB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nakaribia 50 sasa na huku mtaani kwetu nimepewa heshima ya mzee wa mtaa… na kila j2 jioni huwa nasuluhisha kesi za wana ndoa…katika kesi nyingi nimegundua mabinti wanashindwa kutofautisha mume na mwanaume wa starehe (boyfriend) na ndio maana una weza ukaenda harusini watu wakabeza aiii kampendea nn??? Anamefata hela tuu…sababu kuna vitu mnaviangalia ambavyo si sifa za mume…ni ziada tu ambayo kama itakuwepo una bahati…mume anatakiwa awe na sifa nyingi lakini kuu ni kuwa macho…masikio…mikono na moyo wake utakuwa kwa mke wake bila kujali wanawake wangapi wazuri wanamwinda…na yuko tayarikuihudumia na kuingalia familia yake…sio lazima awe giant na hb kama jb…wanawake wengi wameishia kuzalishwa na kuachwa na kutengeneza watoto wengi wasio na malezi ya baba na mama…na hawa walioachwa ss wana chuki kubwa na wanaume….pia kizazi hiki cha kuanzia miaka 30 kwenda chini kina wanawake wengi wajeuri wenye kujiamini kupita kiasi…nionavyo huko mbele ndoa zitakuwa chache…wacha nile pilau yangu nijiandae saa 10…kuna wengine wanakuja washatibuana karibia wiki3 sasa

By Jb on Instagram
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we tumbo misosi usiyeshiba... kwa hiyo unafurahia watu kutibuana ili uwapatanishe...

    ReplyDelete
  2. Fyuuuuuu
    Una mke wewe
    Fyuuuuuuu
    Really life it's not maigizo

    ReplyDelete
  3. 50 miaka nilifikiri Upo 70
    Mbona mzee hivyo kulikoni

    ReplyDelete
  4. Ushakuwa kungwi, ngaliba au mganga
    Sanaa halipi
    Au ndo Magufuli tena kabana Kila kitu

    Msingiingile kazi zetu mafundi

    ReplyDelete

Top Post Ad