PICHA ya Rais John Pombe Magufuli Akiwa Kwenye Nguo za Jeshi Zawakosha Wengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiwa katika ziara Rais Magufuli Amevaa Gwanda za jeshi za Amiri mkuu wa Jeshi la Tanzania....

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Arusha Mjini wakati akipita Barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli ambako pamoja na mambo mengine kesho tarehe 23 Januari, anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kundi la 57/15.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NIMEMKUBALI JPM KWELI NI JEMBE

    ReplyDelete
  2. umemkubali kuwa ni jembe kwa kuvaa combat au?

    ReplyDelete
  3. Ni njema sana,namkubali,jamaa anajaribu kila kitu,kushona,kufuga,kijeshi,eeeh!nimeona picha za Mwl.Nyerere pia akiwa kijeshijeshi.

    ReplyDelete
  4. hahahahhaha safi sana kamanda pombe
    amiri jeshi mkuuu mkombozi wa watanzania

    ReplyDelete
  5. ARUSHA MOJA HIYO,NILIHISI KAMA TUKO KWENYE KAMPENI KWA JINSI TULIVYOJITOKEZA KUMPOKEA KAMANDA WETU.
    MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MY PRESIDAAAAAAAAAA.

    ReplyDelete

Top Post Ad