Ali Kiba Anautamani Wimbo Huu wa Justine Bieber..Anahisi Hakuutendea Haki...Ni Upi Huo?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa bongo fleva Ali Kiba amefunguka na kusema kuwa anauzimia sana wimbo wa What do you mean wa msanii Justin Bieber kwa vile ambavyo umetengenezwa na sauti inasikika kuliko vile Beiber alivyoimba na kutamani wimbo huo ungeangukia mikononi mwake.

Kiba aliyasema hayo kwenye kipindi cha Playlist cha Times Fm alipotakiwa kuchagua wimbo wa kusikiliza ndipo alipouchangua wimbo huo na kutoa sababu hizo.

“napenda sana track hii jinsi ilivyo prodyuziwa kwa sababu sound naiskia vizuri sana kiukweli japokuwa ameimba lakini naweza kusema ameimba sio ile ki mature zaidi (kikomavu) ,ameimba ki teenage fulani..I wish ningeipata mimi” alisema Kiba.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyimbo zako za Kiswahili zinakushinda msonyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wapeni sifa wasanii.vipaji vyao hamnavyo.wacheni chuki na roho mbaya.

      Delete
  2. mnh kwani mtu hana haki ya kusema anachojickia NA ANACHOPENDA imba ww bac km unaweza waswahili choyo hakina faida ukiambiwa uigilize wimbo unakushinda ckwambii kutunga uimbe hata umgaie mtu cd bure hauckilizi kiba amesema anachopenda chuki hazijengi

    ReplyDelete

Top Post Ad