Baraza la Waislam BAKWATA Waunga Mkono Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


WAKATI Chama  cha wananchi CUF ambacho ni chama kikuu cha Upinzani visiwani Zanzibar kikiwa kimesusia uchaguzi wa marudio ambao unafanyika Marchi 20 ya mwaka huu,Baraza la Waislam  (BAKWATA)  limesema marudio ya  uchaguzi huo ndo njia ya kipee ya kurudisha amani visiwani humo..

Akizungumza na waandishi wa habari leo,Jijini Dar es Salaam, Sheikh Mkuu mkoani hapa,heikh alhadj Mussa Salum  amesema  Bakwata wanaunga mkono Tangazo la ZEC la kurudiwa kwa uchaguzi hu.

“Uchaguzi huu wa marudio  kwetu Bakwata tunaona ndio njia ya kipekee ya kukiweka kisiwa cha Zanzibar kuwa sehemu ya Amani na utulivu,natumia nafasi hii kuwaomba chama cha CUF kushiriki uchaguzi huu” Amesema Sheikh Salum.

Sheikh Salum ameongeza kwa kusema  kuwa hata kiongozi wa jumuiya ya Uamsho Visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmad amemwandikia barua na kumweleza kuwa kurudiwa kwa uchaguzi kutasaidia kurudisha Amani visiwani humo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alhadi musa mnafiki hana lolote,wala hana haki ya kugeuza maamuzi ya wazanzibar

    ReplyDelete
  2. Hy alhadi toka lini akawa shehe,mnafiki ile mbaya na ushehe wk wakurithi,bb yk ndo alokua shekhe,alipokufa bb yk karithishwa kanzu,kuanzia hp eti nae kawa shekhe,laanatullah

    ReplyDelete
  3. Nasikia kutapika

    ReplyDelete
  4. Tuoneshe hio barua ulotumiwa na sheikh faridi na uwongo wako

    ReplyDelete
  5. huyu sheikh Salum ni ANGLIKAN ASIONGEA PUMBA

    ReplyDelete

Top Post Ad