Dada wa Diamond..Esma Platnumz Apewa Talaka Tatu na Mpambe wa Wema Sepetu Petit Man

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Petit Man ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi pendwa cha burudani Afrika Mashariki cha Planet Bongo, na kusema kuwa yeye na mke wake huyo wameachana kwa mapenzi yao, ingawa hajafurahishwa na kitendo cha mama yake kuingilia suala lao.

"Mimi mwenyewe sikusikia interview ya mama yangu, nilisikia tu ameongea lakini sikujua ameongea hivyo kwa madhumuni gani lakini mi sipendi sana vitu vyangu na familia yangu kuviweka wazi, nadhani ni matatizo tu ya ndani ya familia, sisi wenyewe na mapenzi yetu ndo imefanya ifikie mwisho na Mwenyezi Mungu pia amependa iwe mwisho wetu, kwa hiyo hatuna jinsi.

Petit Man amesema kwa sasa yeye na mkewe Bi Esma ambaye wamezaa mtoto mmoja wanaishi sehemu tofauti, huku kila mmoja akiendelea na maisha yake binafsi.

"Mimi siko tena nae nishaachana naye, ye anaishi kwake na mimi naishi nyumbani kwangu, ninaposema mtu nimeachana nae nimemaanisha, nimetoa talaka tatu yani siko nae tena yani", alisema Petit Man.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado unazini na Wema?

    ReplyDelete
  2. talaka tatu zote hizo mbona nyingi sana kwani kakukosea nni?

    ReplyDelete
  3. Hakuna kitu talaka Tatu kwa mkupuo Wa Mara moja, kama umempa talaka Tatu kwa awamu moja hiyo ni sawa na talaka moja tuu. Talaka Tatu zinahesabika kwa awamu tofauti endapo utamuacha kwa talaka ya kwanza na kumrudia, na ukimwacha tena kwa talaka ya Pili na kumrudia kisha ukimwacha tena kwa talaka ya Tatu ndipo inakubalika kuwa umemwacha kwa talaka Tatu na ukimuhitaji sharti aolewe tena na Mtu mwingine kisha aachwe au afiwe ndipo wewe umuoe upya. Kama unamuhitaji mkeo nenda kamrudie kama bado EDA ya talaka haijaisha na endapo EDA ya talaka imeisha basi kamuoe upya. Kamrudie mkeo mules familia acha ujinga, majaribu katika maisha ya ndoa yapo tena Mengi tuu. Siku zote muombe mungu ili uyashinde najaribu ya ndoa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad