Diamond Platnumz Amwagia Sifa Mpenzi Wake Zari..Amwita Kadada Kabichi Kama Embe la Msimu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha za hivi karibuni za Zari zimezoa gumzo mitandaoni huku wengine wakisema japo ni mama wa watoto wa nne lakini bado analipa sana zaidi ya wanawake wengi ambao hata watoto hawana..Mpenzi wake nae Akapigilia Msumari kabisa kwa kuandika haya katika ukurasa wake wa Instagram;

"Diamondplatnumz; I swear i Can't get use to your Cuteness...Kadada kabichiii... kama Embe la Msimu! 🍋@zarithebosslady " 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dai anaona aibu imebidi amsifie ili watu waache kumcheka. hahaaaaaaa!

    ReplyDelete
  2. kweli mbichi maana wale watoto 4. kawaokota jalalani na mmoja kakumbambikia. Hanith usojijua.

    ReplyDelete
  3. Zari anajua unatia bongo, so anajitahidi kujichubua umuone mbichi na ulivyo limbukeni sasa.

    ReplyDelete
  4. Hahaaaa, aibu na kujitoa fahamu Domo. umembambikia Tifa sasa unabambikiwa hata K.

    ReplyDelete
  5. Aibu ya Wema kuwa na mimba, inaanza kumchanganya Almasi. hana jinsi maskini kaona bora amsifie kizee chake kisije kutoa siri ya Tee.

    ReplyDelete
  6. too much edeting mpaka meno wamesahau kuya edit. wadanganye hao watandale wenzio.

    ReplyDelete
  7. Kizee kinajitahidi kujiremba.

    ReplyDelete
  8. NAMPENDA WEMA TUU. BI KIZEE HANISHTUI KWA 360. NA KUJIEDIT

    ReplyDelete
  9. eti mbichiiiii lol na walompitia kabla yako waseme je? unatia aibu Dai.

    ReplyDelete
  10. Domo unachekesha walonuna. Ajuza kajitahidi aje akuonyeshe bado 25. kumbe 45.

    ReplyDelete
  11. hata bi sadra mbichiiiiiiiiiiii. kama Zari. hahaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  12. safari hii kaja bongo kawa mpole, kwa kichambo alichopewa na Wema.

    ReplyDelete
  13. DIAMOND KABEMENDWA NAE HAJUI ATENDALO. MTOTO WA KIUME UNASHIKILIWA KAMA NDIZI MWENDA WAZIMU WEWE UACHE KUTAFUTA SAIZ YAKO UOE UNAKAA NA HILO JIBIBI LIMESHINDIKANA KWAO UKAONA UOKOTE MATAPISHI FYUUUUUUU

    ReplyDelete
  14. hahaaa. kweli mdau Anony 1.20 PM. Domo akalamba matapishi anajiona kabikiri kabisa.

    ReplyDelete
  15. hata bi sandra ni mbichi kama Zarina maana umri wao sawa.

    ReplyDelete
  16. Kazuri ila kapungue kidogo

    ReplyDelete
  17. mi sina uhakika sana kama dai amesoma,na kama alisoma atakuwa alikuwa kilaza!1 kusoma hujui hata picha uoni dai. kuma itoe vichwa vinne halafu iwe bikira???

    ReplyDelete
  18. dah! w2 mnachonga km ninyi wazr vle..!

    ReplyDelete
  19. Leeni mimba au isha toka

    ReplyDelete
  20. hata baba watoto wake wa kwanza anasema hajapata wa kufanana naye,kwa hiyo DAIMOND anasema kweli dada mbichi

    ReplyDelete
  21. dai hawezi kuchanganyikiwa na mimba ya wema kwani hapo kapita peke yake,mbona hakupata mimba kwa wengine,

    ReplyDelete
  22. dia unaaibisha tanzania kila mwanamke wa nje anyejua kujiremba kwako nikamwanamke kabichi. ?@ ukuaji wake wote ulikua na dom nakuuliza?? Jiheshimu!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  23. Cecilia makwinya ndugu yangu khaaa, we unamiaka mingapi hapo 60 nini maanaupo kama bibi mzaa mama yake na Zari unatisha

    ReplyDelete
  24. mimi siyo mshabiki ila mmezidi maana kiuhakisia zari ni mwanamke mzuri sn ,na anasifa zote za kuitwa mwanamke pia ni mzuri kuliko wema kiuhalisi .

    ReplyDelete
  25. mimi sio mshabiki ila wema anauzuri wa hasili hata akinyoa zungu anapendeza. huyo mwingine mganda ni lazima aweke mawigi na mavitu kibao mwilini ili afiche uzee wake. wema ni mzuri zaidi.

    ReplyDelete

Top Post Ad