Mke wa Dr Slaa Atupia Picha Mtandaoni Wakiwa na Dr Slaa Wakisoma Magazeti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Kimya Kingi Mke wa Dr Slaa Josephine Mushumbusi Ameamua Kutoa Picha Kwenye Mtandao wa Facebook Akiwa na Dr Slaa na Kuandika "Tupo Tunasoma Magazeti"

Baadhi ya Komenti Toka kwa Wadau wao;

Kapalatu Salim
Mungu hamtupi mtu mwenye dhamila ya kweli hawezi shindwa hawezi kata tamaa. Maneno hayo aliniambi ZZK miaka mitatu iliyopita. So simama katika kupigania haki wazalendo tupo nyuma yako. Mungu atawalinda sana

Aaron Mwakajonga 
huyo nae ni jipu

Telesphory Masalu 
Hongereni sana kwa misimamo yenu ya dhati iliyokataa kuyumbishwa na fedha za Mafisadi.Dr Slaa will remain my role model forever.

Amani Magingi 
Bado nashindwa kukuellewa mamaa mushumbusi... hakika sikuelwwiii hivi kweli ulimtupia virago dr???? Kwelii kabisaaaa??? Yaaan bado sielewiii dr.was my role modal... lkn kwa yaliyotokea.... daaah sijui lini tz itapata ukombozi

Meshack Samweli
Mungu atawalipa hapahpa duniani kama mliwasalit watanzania mie sjui ipo sku ukwel utajulikana


Bryton Myrium Chadema
 mama ni kweli ulitumia nyumba ya dr slaa kumuombea mkopo jamaa mwingine sory kama nimekosea kuulliza
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu ni kiongozi wa mfano wa kuigwa, nyie mlitaka aibu hii mliyoipata kwa fedha za wizi na ufisadi imkute?bado mtaona kama alivyouliza Lowasa na wengine ni ASSETS au LIABILITIES. Karibu mtaona manaeno ya Dr Slaa ni kweli au uongo. Angalia anavyoanza kuigawa Ukawa kwa network, kama alivyokuwa CCM. Jamani mfupa uliomshinda FISI.......

    ReplyDelete
  2. wewe sema una chuki zako na lowassa, lowassa c alisema kama yeye ni fisadi ashitakiwe mbona hawakumshitaki mpaka leo na wakati ana haki ya kushtakiwa.

    ReplyDelete
  3. wewe sema una chuki zako na lowassa, lowassa c alisema kama yeye ni fisadi ashitakiwe mbona hawakumshitaki mpaka leo na wakati ana haki ya kushtakiwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna unalolijua,au ndio upinzani usio na maadili?chuki kwa Lowasa?za nini?Mbona JK kasemwa ni fisadi hamjamshitaki?Ni kweli JK hakuwa na mema kwa watanzania?ukawa hivyo walivyo hawafai kutuongoza hata kidogo,wana tamaa ya madaraka na ndio maana wakamsafisha dhambi Lowasa,ni haohao walimwona alivyokuwa ccm alikuwa mbaya kaja ukawa kasafishwa dhambi?Watanzania tuwe macho,na kama ni kuichoka ccm ni bora kupiga debe kwa Kabwe kuliko ukawa.

      Delete
    2. lowasa ni fisadi tena fisadi papa Mungu tu anajua

      Delete
  4. ukawa juuuuuuu kajinyonge,

    ReplyDelete
  5. JK + LOWASA WANAJUANA SANA UFISADI WAO NYIE JITIENI HASHUO WENZENU LAO MOJA WAMEIBA PAMOJA WAMEKULA PAMOJA

    ReplyDelete

Top Post Ad