Ray Kigosi Apigilia Msumari Mwingine kwa Batuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa filamu Vicent Kigosi, maarufu kama Ray ameeleza mustakabali wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina Tajiri Mfupi aliyomshirikisha ndani yake staa wa filamu Batuli ambaye anamtuhumu kwa kutokumlipa chake kwa ushiriki wake ndani ya kazi hiyo.

Ray amesema kuwa, filamu hiyo itatoka kama ilivyopangwa licha ya tuhuma za Batuli, akijitetea kuwa, hawezi kushindwa kumlipa mtu mmoja na kufanikisha kuikamilisha kazi hiyo waliyoifanya miaka 3 iliyopita tayari kwa kuiingiza sokoni.

Ray pia akatolea ufafanuzi hisia zilizoanza kujengeka kuwa, wametengeneza ugomvi huo na Batuli ili kuipatia kiki kazi yao, kitu ambacho amekipinga kwa nguvu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umemlipa au hukumlipa jibu swali

    ReplyDelete
  2. yes mkongo unazidi kuwaka kwa mkorogo. ukiuza muvi yako kwa sasa pesa usinunue mkorogo weka kidogo kidogo uende kigogo ukaoe mgogo!.... haya ney wa mitego ongezea ubeti mwingine huu kwenye ile singo yetu then tuitoe.

    ReplyDelete
  3. Mkorogo on point

    ReplyDelete
  4. Sasa noma kadume kataweka lipstick haka ..

    ReplyDelete
  5. Mkorogo Kama waziri mkuu Na mkewe

    ReplyDelete
  6. duh mkorogo kweli umekolea angalia hata mikono yakeee

    ReplyDelete

Top Post Ad