Ray 'Nilishawahi Kumuokoa Nay wa Mitego Asipigwe Lakini Nashangaa Kanigeuka'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


STAA wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe.


Akizungumza asubuhi hii katika kipindi cha Leo Tena kinachorusha na Clouds FM, Ray alisema kuwa alipokuwa katika shoo ya Fiesta Mwanza, Nay alivamiwa na kundi la wasanii wa Bongo Movie na kutaka kupigwa.

“Nilifanikiwa kumzuia kwasababu wasanii walikuwa wengi wakiongozwa na Wema Sepetu sasa nashangaa mwenzangu Nay ananisakama natumia pesa zote za mauzo ya filamu namalizia kwenye mkorogo,” alisema Nay.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole ray hiyo ndo sanaa umeongea kwa huzuni sana hahahahahhahahh

    ReplyDelete
  2. pole ray wewe ni mstaarabu sana..msamehe nay sio mtu wa busara na hekima anagombana na kila mtu katika jamii ni kama shetani fulani hivi ameshindwa kuishi na mwanamke yeyote japo amezaa na wanawake tofauti, sijui wanampendea nini huyo mwendawazimu.!

    ReplyDelete
    Replies
    1. WANAFUATA 'MPUNGA' WAKIDHANI ANAHONGA, WAKIGUNDUA JAMAA NI BAHILI, WANASEMAPA, LABDA APATE MWANAMKE MWENYE PESA ZAIDI YAKE 'LABDA' WATADUMU

      Delete

Top Post Ad