Sugu Yamfika Hapaa Bungeni...Ni Kuhusu Rais Kutosafiri Nje ya Nchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi amemshangaa mh Rais John Magufuli kwa kitendo chake cha kutokusafiri nje ya nchi, akichangia bungeni mbunge huyo alisema haiwezekani Rais abaki amejifungia Dar badala yake anapaswa kusafiri nje ya nchi ili kwenda kujifunza kwa marais wenzie. 

Je, hii ni mwendelezo wa viongozi wa CHADEMA kubadili gia angani!?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawana jipya hao!! HAPA KAZI TU imemaliza kila kitu.

    ReplyDelete
  2. Kwani lazima asafiri na akisafiri nyie chadema mtaanza kusema anachezea pesa za nchi kwa kusafiri, afu kama hana ishu yeyote muhimu nje ya nn asafiri, raisi kaja na dhamiri nzuri kuwafanyia kazi wananchi na nchi yake tu, kwanza mtu unatazama ya nyumbani kwako na familia yako.

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...hapa kazi tu mnahangaika sana ukawa mmeanza chokochoko mwacheni tingatinga atumikie taifa

    ReplyDelete
  4. Kwa hili la kutosafiri namuunga mkono rais for the first time

    ReplyDelete
  5. Peleka pesa kwa Faiza alee mtoto anadhalilika hata pesa ya kusuka hana

    ReplyDelete
  6. Wapinzani hawana jipya,wao ni kupinga kila linalofanya na serikali,Mheshimiwa Sugu wee bado mtoto nakushauri urudi shule muda unaruhusu.

    ReplyDelete
  7. AKISAFRI NI AJENDA HAJASAFIRI PIA AJENDA MUTASANDA

    ReplyDelete
  8. Rais kwenda au kutokwenda nje hapangiwi na mtu na hili lisiwe issue ya kwa wanasiasa uchwara kuuza sura.

    ReplyDelete
  9. Rais kwenda au kutokwenda nje hapangiwi na mtu na hili lisiwe issue ya kwa wanasiasa uchwara kuuza sura.

    ReplyDelete

Top Post Ad