CUF Waitaka ZEC Kuondoa Jina la Maalim Seif Kwenye Karatasi za Kura

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la wawakilishi kwa lengo la kugomea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 visiwani humo.
Chanzo: DW Swahili
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi hayo ndio MAAMUZI MAGUMU. hakuna kuremba na vyama vingi vifutwe kumanina zao, kazi uonezi. kaeni wenyewe madarakani mpaka mchoke dawa inachemka.!

    ReplyDelete
  2. Hivi ndivyo ccm walivyopanga,pamoja na dunia nzima kuelewa kuwa CUF-UKAWA haitoshiriki kwenye uchaguzi wa marudio,uchaguzi haramu,uchaguzi wa kihuni,uchaguzi wa ccm kumchagua ccm lakini bado kuna njama chafu ya ccm kuzitumia picha za wagombea wote wa cuf-ukawa kuwa ni wagombeawa march-20![yaani maboya-abosheni] .hapa ieleweke kwamba katika hiki kinachoitwa 'uchaguzi wa marudio' hakuna mwananchi mwanachama wa cuf-ukawa,mpenzi wa cuf-ukawa na pia mwana ccm mcha mungu [marafiki wa lowassa-zanzibar],watakaothubutu kujitokeza kushiriki kwa kuihalalisha haramu hii.ni wana ccm pekee,peke yao ndio watakaojipigia kura.matokeo na takwimu za' wapiga kura'march 20 tayari vimekwisha pangwa.shughuli za sherehe ya kuapishwa sheni zimo mbioni kukamilika.hii ni dhambi kubwa, huu ni utapeli mkubwa wa kisiasa,hii ni dhuruma kubwa,huu ni wizi mkubwa,huu ni uchokozi mkubwa kwa raia wa tanzania zanzibar.UDIKTETA KARIBU TANZANIA-BARA NA VISIWANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pichaya seif itawekwa kama kawa wewe ukisusa sie twalaaa

      Delete
    2. wewe ukisusa sie twalaaa

      Delete
  3. MTAVIMBIWA VIWATOKE PUANI,MASIKIONI NA MTAHARIBIKIWA ILE MBAYA.ZETU DUA.

    ReplyDelete
  4. naichukia ccm kutoka moyoni, wanacho kifanya ni hatari sana.lakkini ipo siku watajutia.
    na muda wa kujuta ndio huu.

    ReplyDelete

Top Post Ad