AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mapato yanayopatikana katika Bandari ya Dar es Salaam ni mengi mno kiasi kwamba kama serikali inakusanya na kusimamia kwa makini, hata maendeleo yanaweza kuonekana na hakutakuwa na haja ya kutegemea misaada ya wahisani ambayo mara nyingi ni ya kujidhalilisha.
Lakini bandari ya Dar es Salaam ni miongoni mwa bandari karibu 10 muhimu zilizopo nchini Tanzania, ambazo ‘zimetelekezwa’ na serikali na hivyo kuikosesha mapato mengi.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kwani kagame alivyowaambia mlifikiri alikuwa anaongopa
ReplyDeleteSidhani kama zimetelekezwa. Wanajua vizuri tu, ni mtandao mrefu huo, nina uhakika Tezi Dume na Lodi Lofa wanahusika vizuri tu. Yetu macho.
ReplyDeleteHahahahhahahha tezi dume, na lodi lofa...... Umenifurahisha sana
ReplyDeleteTaifa la wapiga dili
ReplyDelete