hakuna tatizo lolote wananchi wote wameungana kusaidiana na rais na yeye gwajima ni mtanzania kama wengine anao uhuru kusikiliza maoni ya serikali au wa upinzani
POA TU,NDIO WATU TUNAWATAKA TANZANIA,KUACHA TOFAUTI ZETU. MAANA KUNA WALE VIONGOZI WA KUZUNGUSHA MIKONO HATA SIKU RAIS KATANGAZA NCHI NZIMA IFANYE USAFI HAWAKUSHIRIKI KIKAMILIFU.INAONYESHA WAZI NI CHUKI.
hakuna tatizo lolote wananchi wote wameungana kusaidiana na rais na yeye gwajima ni mtanzania kama wengine anao uhuru kusikiliza maoni ya serikali au wa upinzani
ReplyDeletecha ajabu nini hapa???????????
ReplyDeletemsikuze mambo
hapa kazii tuu hajarishi katoka wapi wala chama gani wala dini gani
Hakuna cha ajabu ni haki yake nyie udaku nao mnadakua sana
ReplyDeletePOA TU,NDIO WATU TUNAWATAKA TANZANIA,KUACHA TOFAUTI ZETU.
ReplyDeleteMAANA KUNA WALE VIONGOZI WA KUZUNGUSHA MIKONO HATA SIKU RAIS
KATANGAZA NCHI NZIMA IFANYE USAFI HAWAKUSHIRIKI KIKAMILIFU.INAONYESHA WAZI NI CHUKI.