Faiza Ally Awatukana Team Wema.."Team Wema Wengi Wapumbavu - Mimi Siwezi Kupenda Kuwa na Team za Kipumbavu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo wenye Vituko vya kila leo Faiza Ally ameamua kuwafungukia team Wema Sepetu kwa Kuandika Haya:

Faizaally_ Team Wema wengi wapumbavu - mimi siwezi kupenda kuwa na team za kipumbavu ! Pumbavu zenu wote ....... Mnaponda watu bila mnazalilisha huyo Malkia wenu nae anaonekana Kama nyinyi ! Kweli mshamba mshamba - mshamba belongs uswahilini bora mngekuwaga hata mna point basi #ujinga mtupu..... Hivi account za kina Malkia Malkia wote wajinga sijui wanatafuta followers kutumia picha za Wema ? But i swear to god nisinge penda kuwa na stupid team at all - Ndio Maana mnafanya anatukanwa - mmeanza kuchokonoa matako ya zari sasa mwisho wameanza na watu kuchunguza yake and u know why ? Because of the stupid team that she has - Kama mm ningewaambia yoyote ana taka kuwa team yangu awe na adabu za kuheshimu wengine Na maisha Yao ! Na yoyote mwenye account ya kutukana watu asitumie picha zangu ! And there for kidogo ange kuwa hata na watu wa manna kabisa hata wa kumwambia ya Maana zaidi ya Hawa wajinga wa Insta wanao jiita team Wema ......

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UMESEMA UKWELI TU FAIZA. TATIZO TEAM WEMA WENGI HAMNA SHULE. SASA WE FIKIRIA YULE ANAYEPOSTI ANATEMBEA AKIONYESHA MATAKO KILA SIKU ETI NDIO BEST FRIEND WAKE. YAANI WEMA AMEJIWEKA SO CHEAP KWA SABABU TEAM YAKE NI WATU WANA MAMBO YA KIKUSUTANA SANA. YAANI ULE UPUUZI WA MTAANI. MIE HUWA NAMWONEA HURUMA LAKINI TATIZO LA WEMA ANASEEK ATTENTION. YAANI MDADA UTAFIKIRI HAKUPATA MAPENZI KWA WAZAZI WAKE. ANAPENDA KUPENDWA NA YUKO TAYARI HATA KUUZA UTU WAKE ILI TU APENDWE. YAANI NI KAMA TEAM YAKE NDIO INAAMUA NINI KITOKEE KATIKA MAISHA YAKE. SOOO SAD YAANI. WAMEBAKI KUSEMA WEMA ATAKUWA WEMA TU. AND SO WHAT? TUONYESHENI BASI LA MAANA HAKUNA. NI VITU VYA KUUNG UNGA TU. LAKINI UNATEGEMEA NINI KAMA MTU ANAKUWA SURROUNDED NA WAJINGA NA YEYE WANAMVUTA KWENYE LEVEL YAO. MIE NAVYOONA WEMA ATAKUMBUKA SHUKA WAKATI KUMEKUCHA. YAANI ATAFIKA MAHALI ATAANGALIA NYUMA ATAONA MAKOSA YOTE ALIYOFANYA NA KUFIKIRI ATAKUWA KIJANA DAIMA ATAJUTA SANA NA LABDA KUWA DEPRESSED.

    ReplyDelete
  2. faiza jamani sijui kwa vile ni mtu uliyezoea matatizo yakuongea ongea na sugu kila mara kwa kusema ule ukweli kama kuna wapumbavu dunian wewe faiza utakuwa namba one ndio wanafuata hao team wema! unavyoonyesha una msongo wa mawazo sana sugu anakuliza kila siku.

    ReplyDelete
  3. wema tayari amekuwa depressed, yaani yeye mwenyewe hajitambui, kama anasikiliza maneno ya team wema basi atakuwa hajitambui, mimi naishi ulaya kuna wabongo waishio hapa walitaka niwasikilize wenyewe mimi wakati mimi ni mtu mzima, nikaona ni heri niache mawasiliano nao,sasa hivi siongei na mbongo yeyote hapa Ulaya na mama yangu ndiyo yupo kwenye kundi hilo hata yeye sitaki kuongea nae

    ReplyDelete
  4. ndiyo mimi naishi ulaya nina mama wa kiafrika huyo mama aliniwekea sumu kwenye chakula ndiyo maana sitaki kuongea nae katika maisha yangu

    ReplyDelete
    Replies
    1. inahusiana nini na mada ya faiza? mwe ulaya imevamiwa na mateja.

      Delete

Top Post Ad