Mange Amjibu Faiza Ally 'Mimi Mpumbavu Inapokuja Issue ya Wema Ila Nadhani Nilionekana Mpumbavu Mara Mia Wakati Nakutetea Wewe'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mangekimambi_ Sawa nakuwa mpumbavu kwenye swala la Wema Ila kumbuka hata wakati nakupigania wewe niliitwa mpumbavu vile vile.Nilitukanwa kona zote kwanini namtetea mwanamke anaevaa pampers na kutembea matako Wazi. Ila sikujali niliacha waniite mpumbavu Kwa ajili yako Na huku sikujui hata kukuona sikuwahi Ila Kwa sababu niliamini in my heart unaonewa niliacha waniite mpumbavu. Leo Na wewe unaniita mpumbavu sababu namtetea Wema Kwa kitu ambacho hata wewe unajua sio sawa? Na ukisoma sijamtetea nimekurekebisha tu kuwa hujakosea ni sawa team Wema ni wapumbavu je kwanini huwasemi hizo team zingine Kwa upumbavu huu? Umemsema Wema hawakanyi team yake je Mbona hujamsema Dai Au Zari kwanini hawakanyi team zao?Lazma tuwe watu wa haki. Hizi team zoooote ni ushuzi mtupu Na ni majipu. Sasa unapochagua team ya kutupia lawama unakosea..
.
.
Mimi mpumbavu inapokuja issue ya Wema Ila nadhani nilionekana mpumbavu Mara Mia wakati nakutetea wewe na sikujali so kaa ukijua huwa sijalimatusi, nishatukanwa matusi kibaooooooo Sasa wamebaki wanayarudia tu! As long as I feel Mtu anaonewa Hata Kama ni Malaya wa jollies ntamtetea tu.
.
.
After all Wema has been through as a woman Na wewe Kweli unaona huu ni mida wa kumu-attack? Wanawake walivyokupigania kipindi kile ushasahau?Au mpaka Mtu awe single mother ndo unaona anafaa kupewa support? 
.
Alafu muache kujiliza ovyo na huo usingle mother wenu. Utadhani mlibakwa jamani..... Seriously sawa Wanaume Wanakosea kuwatupieni Watoto Ila duh mmezidi kulalamika jamani! Yani Sasa Hivi nikisikia neno single-mother I just roll my eyes like 🙄🙄
.
.
PS- sijaweka Picha hizi ili utukanwe nimeweka ili tu nikukumbushe kuwa Mimi naweza kumtetea mtu Hata Kama akionekana hana thamani duniani. As long as I believe rights zake zimekuwa violated Au uonevu umezidi... I don't mind your dressing at all Ila usiite Mtu mpumbavu eti Kisa kumtetea mwanamke anae onewa , jikumbuke wewe ulivyoitwa mpumbavu , malaya, mshenzi, mama mbaya majina yote waliyamaliza and still watu tulikupigania. 
.
Although umeniita mpumbavu wala sitokutukuna au kukuita mpumbavu pia. Yawezekana nikawa mpumbavu Kweli ikija Kwa wanawake kama Faiza Ally na Wema Sepetu! Nakuwa sioni siambiwi
Read more at http://websta.me//n/mangekimambi_#XZ0wPpjK2xXS22UZ.99
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. khaa kwa hiyo mange umemaind?

    ReplyDelete
  2. Mange kweli yuko depressed, hiyo MBA haijamsaidia kitu kama kweli alisoma! Kutwa yuko busy online kutafuta beef wakati umri wake umeenda sana anatakiwa awe anajenga future ya wanawe na career yake!

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu mange ndio nani maana nasikia tu mange mange??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha!UTANI?ukitaka utamjua tu labda kama umeingia mjini jana,na mitandao ndio unajifunza.NGOJA BASI NIKUHABARISHE.Mange ni mwanamke mwenye kujiamini,mpiganaji asiyependa kuona mtu anaonewa hata kama hamjui,haigopi kumpa mtu ukweli,kaolewa na mzungu/msomi,anaishi US,ana maisha yanayopendeza,ana watoto 3.Inatoshaaaaaaaaa!

      Delete
    2. nice try Mange, wewe ni jobless na husbandless heri ujikalie kimya tu

      Delete
  4. Nyie wote wale wale akili mmeweka matakoni badala ya kichwani pumbavu zenu. Faiza ameongea yake na ni ya ukweli kabisa hata ww ni team wema kaa na utulie ufundwe. Sio kuanza kudandia team zingine ambazo hazihusiki na upuuzi wenu......TeAM Dai inakujaje hapa pumbavu zako. We pambana na Faiza mmalizane acha kuingilia mambo ya wanaume. umempigania umempigania....umempigania kitu gani usitake kuzingua hapa.....watu kujifanya wanasaidia watu jamani, hata kama umemsaidia sijui umempigania hutakiwi kujinadi kwani hukulazimishwa kumpigania mtu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wee nadhani unaokota makopo mwezi ukiwa mchanga,hata wewe unaonyesha kabisa uko team gani,Na hapo lengo sio kujinadi bali biashara ni matangazo.

      Delete
  5. Mange ndo binaadam kama wewe. ila hapendi unafiki unakupa za uso. ukimeza ukitema shauri yako

    ReplyDelete

Top Post Ad