Hatimaye Dr Slaa Afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye aliyekuwa Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Josephine Mushumbusi.

Wawili hao walifunga ndoa nchini Canada jana katika kanisa  moja, lakini  habari zinaeleza si kanisa Katoliki ambalo Dr Slaa aliwahi kuwa Padri kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita.

Ndoa hiyo imetimiza ndoto za muda mrefu  za Dr Slaa ambaye mwaka 2010 aliyekuwa mume wa Mushumbusi alikimbilia mahakamani  akidai bado anamtambua Josephine  kuwa ni mke wake wake halali.

Mume huyo alidai Dr Slaa alimpora mke wake, hivyo akaitaka mahakama  impatie haki  yake. Hata hivyo kesi hiyo haikupewa mashiko makubwa.

Misukosuko ya wawili hao iliendelea ambapo mwaka 2012 aliyekuwa  mke wake, Rose Kamili alifungua kesi kupinga ndoa hiyo huku akitaka alipwe milioni 50.

Dr Slaa na Mushumbusi wanaishi kwa takribani miaka sita sasa na waliwahi kuanza maandalizi ya kufunga ndoa wakiwa hapa nchini lakini wakashindwa kutokana na mapingamizi hayo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenyezi Mungu awaongoze katika maisha yenu ya ndoa. Hongereni sana. Mungu awarinde siku zote. Mwaiyuka muno.
    James Kalugira. USA.

    ReplyDelete
  2. dr. slaa nae ni super star, kama bongo movie/flavour

    ReplyDelete
  3. Mzee msanii hana mpango kabisa

    ReplyDelete
  4. Mwacheni ale ujana babuuu. Uzee mwisho chalinze ndio kwanza jioni jua linanza kuzama ana uzeee gani? Mzee ni yulee kikongwe hajiwezi kujimudu.Watanzania wanapenda kuwaita wenzao wazeee. Utafikiri hao wanaoutajaa kila wakati uzeee uzeee hawawezi wao zeeekalooo!!! Mmuache ajilie bata. Haloooo bata bataniii eeeeh!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad