Baraka da Prince Amtambulisha Mrembo Najma Nyumbani Kwao Mwanza...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza.

Hongera Baraka kwa maamuzi ya kiutu uzima.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona hata Idriss kamtambulisha bibi bomba michirizi kwao..

    ReplyDelete
  2. Hii ni kumuonyesha Mr Blue au kweli wanapendana?maana yake wanawake ndio zao hizo,wanapenda kumlazimisha mshikaji mpya kufanya vitu vya kuonyeshana.

    ReplyDelete
  3. Naj siyo wife wa kuoa hapo wanadanganya tu kumuonyesha Mr Blu kama mdau hapo juu alivyosema, lakini Mr Blu haimuumi hata kidogo sababu anaye mke mzuri wa kuitwa mke na anampenda mke Wake. Naj ni nani wala hapendezi ndiyo maana Mr Blu alimshit Naj

    ReplyDelete

Top Post Ad