CHADEMA Mrudisheni Dr.Slaa Kundini Mtengamae..Hakuna wa Kuvaa Viatu Vyake..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tuseme tu ukweli,Dr Slaa alikuwa nguzo kubwa ndani ya CHADEMA na UKAWA,tunamhitaji huyu mzee wa kukusanya nyaraka na kutoa matamko yenye facts tupu.

Inaonekana wazi sasa hata CHADEMA hawajui wanasimama kwenye nini hasa!either kupinga ufisadi?hell no hawana huo ubavu kama mwanzo!Je kukosoa serikali ya Magufuli?pamoja na kukosoa tunakosoa hata utumbuaji majipu ambayo yalikomaa.


2020 kuna sera gani UKAWA CHADEMA watatumia?kama ni mabadiliko je kwa Magufuli hamna?utumbuaji majipu TRA,bandari,ndege 3 zinakuja,kiasi flani bila unafki Rais Magufuli anajitahidi ingawa kukosolewa ni kawaida.

Tumlaumu Magufuli kwa kukaa pembeni suala LA uchaguzi Zanzibar,na tuilaumu tume ya uchaguzi kwa kasoro za uchaguzi.

Ni mabadiliko gani UKAWA/CHADEMA tunahitaji hasa kwa sasa?Kujipanga kunahitajika sana!


Bado CHADEMA tunamhitaji Dr.Slaa,mtu ambaye anajua anachokisema,anajua anachokisimamia,chadema haitakiwi kutoa matamko ambayo hata wao wenyewe wanajifunga kwa kauli zao awali.

Ili UKAWA ipate miguu ya kusimama,kukosoa serikali,kufichua maovu ,kutoa tamko zenye kutikisa nchi na zenye facts ili Magufuli atumbue majipu vizuri bado inamhitaji Dr.Slaa.

Mheshimiwa Edward Lowasa hana credibility ya kutoa tamko,Mbowe bila Dr Slaa hana pia,misingi ya CHADEMA ilikuwa kwenye Dr Slaa 30%.

Tunamhitaji Dr.Slaa kuwa ndani ya CHADEMA ili akiongea kuwe na kipya maana akiwa pamoja na Mbowe ,Mnyika,Lissu,Msigwa n.k,wakipaza sauti kwa pamoja wanasikika na watanzania tunawaelewa.

Ili upinzani ukue Tanzania UKAWA NA CHADEMA tunamhitaji Dr Slaa,pia Dr.Slaa hawezi kusimama mwenyewe bila CHADEMA,hakuna chama aliyoijenga kama CHADEMA,nje na hapo hawezi kuaminika.

Viongozi wa UKAWA na CHADEMA washauriane wawe timu moja na Dr Slaa,wanamhitaji.

NAFUNGUA MJADALA.


Viol wa JF.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BORA UMELIONA HILO NA WEWE,CHADEMA YA SASA NI VULULUVULULU.

    ReplyDelete
  2. Jamaa hawataki kukubali lakini ukweli ndio huo.
    Bado CHADEMA hakuna wa kuvaa viatu vya Dk.Slaa.

    ReplyDelete
  3. hahahahah!! Mnakumbuka shuka kumekucha........mkitaka Dr. Slaa arudi, badilisheni gea ardhini kwa kumtimua huyo fisadi papa mlomkumbatia, Dr.Slaa sio mnafiki wala hanatabia ya kubadilishia gea angani, hana tamaa kama Mbowe, hapendi ufisadi.......

    ReplyDelete
  4. Chadema ni ya wanachama wewe mburulalz hapo juu si ya dr slaa wala mtu yoyote,na kampeni zimeisha fanyeni kazi.

    ReplyDelete
  5. CHADEMA IPO BOMBA SANA . WEWE WASIWASI WAKO TU. HUYO JAMAA ALIKIMBIA MWENYEWE!!!

    ReplyDelete
  6. kwa sababu umefungua mjadala naomba ni seme hili....wewe ni nani kwani nani kakuambia bila upinzani Tanzania itakufa. Je Dr slaa anamkataba gani na Mungu. Je unafikiri bila Slaa chadema itakufa? Inaelekea siasa zako ni za kukopa. Siasa itakuwepo na itakuwepo hata bila ya Magufuli wala Slaa. sebuse JK katufikisha hapa tulipo wewe unaongelea yaliyopita? Dr aendelee na utawala wake binafsi sasa yupo Canada kwani umeona nn upinzani wabunge kibao wana mstahiki meya wa Jiji kuna nini tena. pole sana

    ReplyDelete
  7. MASHUMBUSI AMEMCHUKUA MSUKULE

    ReplyDelete
  8. Hahahaha usimtegeemee mwanadamu ww ata bibilia inasema! Kila kitu kinakija na kupita so ata mr nice alisha wai kua tishio kila club km kakutuma mwambie nw tunafanya vitu vya uakika najua unajua umeona katibu mkuu mpya anavo panga mipango so kua mpole mwambie alie kutuma uku pamoto

    ReplyDelete
  9. acheni unafiki kama kweli mnamkubali slaa si huyo yupo free mchukueni mbona ni ccm huyo wala hajifichi mwandishi una pepo la unafiki,

    ReplyDelete

Top Post Ad