Huyu Hapa Ndio Mrembo Mpya wa Mwanamuziki Nay wa Mitego?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tangu Nay wa Mitego aachane na Shamsa Ford, bado hajamuonesha mrembo mwingine aliyeuhamishia moyo wake.

Na sasa huenda amempata yule anayeweza kuanza kuwaonesha mashabiki. Rapper huyo wa ‘Shika Adabu Yako’ amepost kwenye Instagram picha ya msichana mrembo mwenye asili ya Kisomali na kuashiria kuwa tayari ameshampata mrithi wa ex wake.

Na hivi karibuni Nay ambaye amejitolea kumsaidia mzazi mwenzake, Zuwena aliyefungwa jela miaka miwili kwa kosa la kutishia kusambaza picha za utupu za mpenzi wake, aliiambia Bongo5 kuwa tayari ana mpenzi mwingine.

Unamuonaje shemeji/wifi yetu mpya?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mfupa uliomshinda fisi...................?

    ReplyDelete
  2. Wa kawaidaa sanaaa..hamfikii irene uwoya hawafikii watoto wa kibongooo

    ReplyDelete

Top Post Ad