AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Na sasa huenda amempata yule anayeweza kuanza kuwaonesha mashabiki. Rapper huyo wa ‘Shika Adabu Yako’ amepost kwenye Instagram picha ya msichana mrembo mwenye asili ya Kisomali na kuashiria kuwa tayari ameshampata mrithi wa ex wake.
Na hivi karibuni Nay ambaye amejitolea kumsaidia mzazi mwenzake, Zuwena aliyefungwa jela miaka miwili kwa kosa la kutishia kusambaza picha za utupu za mpenzi wake, aliiambia Bongo5 kuwa tayari ana mpenzi mwingine.
Unamuonaje shemeji/wifi yetu mpya?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mfupa uliomshinda fisi...................?
ReplyDeleteWa kawaidaa sanaaa..hamfikii irene uwoya hawafikii watoto wa kibongooo
ReplyDelete