Alikiba Ala Shavu Kubwa....Asaini mkataba na Sonny Music Huko South Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alikiba baada ya kusaini mkataba huo amewashukuru mashabiki wake kwa support waliompa toka aliporudi na wimbo wake wa 'Mwana' mpaka leo hii na kusema atafanya sherehe na mashabiki zake ili kufurahi nao baada ya kuweza kusaini mkataba na 'Sony Music'

"Nataka kukumbuka nilivyorudi kwenye game 2014 toka nimepumzika, nimepiga hatua kubwa sana na hii ni kutokana na support kutoka kwa mashabiki, mtanisamehe mashabiki pale nilipokosea, ila kwa furaha niliyonayo leo kusaini mkataba huu naomba nikirudi nifanye party ili nifurahi pamoja na mashabiki zangu ambao walikuwa na mimi mwanzo mpaka sasa" alisema Alikiba.

Mbali na hilo Alikiba amewashukuru waandishi wa habari na vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vikimpa support kwenye kazi zake za muziki siku zote.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiba for real fanya kazi best angalia maisha yako,,,ishi utakavyo sio watakavyo heshim mkubwa na mdogo maisha ni mapito tu big up.

    ReplyDelete
  2. Kimya kimya nakubali Kiba sio ujitangaz ao ujionesh kweny vyomb ao kufany kollabo na wasan et njoo umepeny sivyo. Unatulia na kufany mamb yak taratib na njoo maana nakukubali. Et kufany kollabo na wasan wakubw et njoo ulish kuwa mkali ahahaaa, Alikib hashituk ten na kollabo za hao munao waita wasani wakubw kwan hakun yeyot muhao anay fikia mzee wakazi R.Kelly. so endelea Kiba tuk pamoja. Usiw unajionesh onesh ao kujitangaz tangaz kweny vyomb vya habar na mitandao ya kijamii. Endelea hivy ulivy na kutup kit kizur. Nafurahiy staili yak kwan unatuchangany huwa unatugeuz unapo yoa ngom kwan watu huwa wanafikiria ngom jinsi itakuj toka ila kwa ujuzi unao unalet kit tofaut kabisa na hilo njoo nime kupa big up. Ila wasio jua wanalalamik et oooo wal nini hawajui hao, sisi njo yunajua. Honger sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad