Baada ya Kutokuwa na Maelewano na Wema Sepetu, Petit Man Arudisha Majeshi Kwa Esma Platnumz na Mtoto wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DADA wa staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul na mumewe, Petit Man wameonesha wako katika mahaba mapya baada ya kipindi cha nyumba kutengana kwa muda.

Esma na mumewe huyo walionekana wako ‘beneti’ kwenye sherehe ya kuzaliwa mtoto wa staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel iliyofanyika hivi karibuni Hoteli ya Serena jijini Dar ambapo muda wote walikuwa katika nyuso za furaha na mtoto wao, Taraj.

 “Naona sasa hivi Esma na Petit Man mapenzi yamerudi upya Mungu awaongoze,” alisikika mdada aliyekuwepo kwenye sherehe hiyo.

Kwa upande wa Petit Man alisema Esma ni mkewe na pia ni mzazi mwenzake  hivyo hawezi kumuacha kirahisi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aaaahhhh leo hii ndio umegundua ni mke wako eehhh. Baada ya kutosana na Sepenga au vipi? Kuwa mwanaume sasa, ulizidi na vitabia vyako vya kijingajinga vya kukalia matakoni mwa mwanamke fedhuli. Na bado utakuwa mtu mzima tu. Akili itakuja.

    ReplyDelete

Top Post Ad