Baadhi ya Wabunge Wapongeza Wenzao Kusimamishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baadhi ya wabunge wa chama tawala wamepongeza uamuzi wa bunge wa kuwasimamisha wabunge 7 wa upinzani kwa kutofuata sheria za bunge kwa kutaka kushinikiza kujadiliwa kwa hoja ambayo ilikuwa imeshatolewa maamuzi kuhusu bunge kurushwa live.

Baadhi ya wabunge hao ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambaye ameupongeza uamuzi wa Bunge na kusema kwamba ni lazima ifike sehemu adhabu itawale bungeni. Wabunge 7 waliosimamishwa wamepewa kitu wanachostahili kwa kuvunja kanuni.

Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Msukuma amesema kwamba adhabu hiyo ni sawa kwa wabunge hao ili iwe fundisho kwa wabunge wapya.

Kwa upande wake Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amesema kwamba kusimamishwa huko kutajenga heshima ya Bunge na kuwa fundisho kwa wengine.

Aidha Wabunge waliosimamishwa ni Tundu Lissu na Ester Bulaya vikao vya mkutano wa tatu na wanne, Godbless Lema, Zitto Kabwe, Paulin Gekul, na Halima Mdee vikao vyote vya mkutano wa tatu na John Heche vikao 10 vya mkutano unaoendelea sasa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waheshimiwa! kumbe hili mnaltambua .. Kwa hiyo tunawaomba mfanye kilicho kuleteni Dodoma kwa maslahi ya Taaifa letu na Mahudhurio yenu ya Kimwili na Akili hapo Bungeni. Sakata kunzishwa bila maana ni kwamba zitaiba muda wa majadiliano na maafikiano wa gurudumu la maendeleo kwa Taifa. Tunawaomba pia mjiheshimu na muwe waaminifu na Wazalendo katika Kushiriki kikamilifu bila kujali mwelekeo wenu wa siasa na mfumo wetu ... KUMBUKENI TANZANIA NI MOJA NA MAENDELEO YETU NI YA SISIS SOTE.. NA NI LAZIMA UJUE UWAJIBIKAJI WAKO NA UADILIFU WAKO WA LEO NI MATUNDA UTAKAYO ACHA HAPA KWA AJULI YA VIZAZI VIJAVYO AMBAO SISI WA LEO TUTAJIVUNIA KWA KUMEWATENDEA NA KUWAJIBIKA KWA HAKI.. NA ANAYEJIONA HAYAWEZI HAYA.. mLANGO UKO WASI AJINASUE MWENYEWE... HONGERA KWA WOTE MNAOLITAMBUA HILI...MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE...BABA JPJM PAMOJA SANA NA BEGA KWA BEGA MUNGU AKUWEKE

    ReplyDelete
  2. Waheshimiwa! kumbe hili mnaltambua .. Kwa hiyo tunawaomba mfanye kilicho kuleteni Dodoma kwa maslahi ya Taaifa letu na Mahudhurio yenu ya Kimwili na Akili hapo Bungeni. Sakata kunzishwa bila maana ni kwamba zitaiba muda wa majadiliano na maafikiano wa gurudumu la maendeleo kwa Taifa. Tunawaomba pia mjiheshimu na muwe waaminifu na Wazalendo katika Kushiriki kikamilifu bila kujali mwelekeo wenu wa siasa na mfumo wetu ... KUMBUKENI TANZANIA NI MOJA NA MAENDELEO YETU NI YA SISIS SOTE.. NA NI LAZIMA UJUE UWAJIBIKAJI WAKO NA UADILIFU WAKO WA LEO NI MATUNDA UTAKAYO ACHA HAPA KWA AJULI YA VIZAZI VIJAVYO AMBAO SISI WA LEO TUTAJIVUNIA KWA KUMEWATENDEA NA KUWAJIBIKA KWA HAKI.. NA ANAYEJIONA HAYAWEZI HAYA.. mLANGO UKO WASI AJINASUE MWENYEWE... HONGERA KWA WOTE MNAOLITAMBUA HILI...MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE...BABA JPJM PAMOJA SANA NA BEGA KWA BEGA MUNGU AKUWEKE

    ReplyDelete
  3. hawa ni bendera fuata upepo wala siwashangai wakipongeza....

    ReplyDelete

Top Post Ad