Bashe: CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya wafugaji na waulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza

Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeye ndio mnafiki mkubwa siku zote alikuwa wapi kuyatamka hayo maneno anayoyatamka leo hii????....Hayo ni majungu na ni namna ya kujifanya yuko na uchungu na Nchi wakati siku zote amekuwa ni mla rushwa na fisadi namba moja. Na hata wakati wa kampeni za uchaguzi alikuwa anampigia kampeni yule fisadi mwenzake Lowassa kwani nani hajui???? Asituletee unafiki wake na kujikosha kwake hafai huyo.

    ReplyDelete
  2. Asante bashe mi binafsi nimekuelewa sanaaa

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa wa 6:36pm kila kitu kikiandikwa kuhusu ubaya wa ccm anakuwa mkali kwani wapi Bashe kakosea hadi umwite mnafiki fisadi hadi kurundisha mkanda wa 2015? mbona uchaguzi uliisha zamani hata JPM alishasema sasa ni kazi tu ndio Bashe anachokisema. Kwani ccm ni akina nani hata wasishauriwe? Nafikiri tuache mambo ya vyana acha kila mtu aseme anachokiona kuwa hakipo sawa sisi wananchi tunataka maendeleo ikiwa yameletwa na upinzani sawa au ccm sawa wote ccm na wapinzani ni watanzania kwa ujumla wao.acha matusi yasio na maana changia hoja ili tukusome.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunataka vitendo hatutaki maneno. Hizi siasa za maneno maneno zimepitwa na wakati. Na hilo ndilo tatizo kubwa ambalo kila mwanasiasa wa Tanzania anataka. Maneno meeeengiii na utapeli utapeli wa hapa na pale, lakini linapokuja suala la vitendo zeroooooooo. Tumechoka na hizo siasa za kulaumulaumu. Kila jambo linalotoka midomoni mwao ni lawama tu na hakuna hata siku moja wanazungumza jambo zuri la kupongezana. Aina hii ya viongozi ni wanafiki na mafisadi na sasa wamebanwa na JPM wanabakia kutoa lawama lawama zisizo na kichwa wala miguuu. Tunataka vitendo ili tuwaone na nyie kama mnaweza. Hovyooooooooooooooooooooooo.

      Delete
  4. hakuwa na sehemu ya kusemea.

    ReplyDelete
  5. Wa kukaya magufuli kazi unayo
    Hawa ndo watu wakufanya nao kazi ndani ya ccm

    ReplyDelete
  6. BASHE hivi wewe wa wapi? mbona umeibuka ghafla kuponda ccm ulikuwa wapi siku zote au unaogopa nyendo zako tujuze leo hiii bashe unasema hivyo wakati wewe .........basheeeee acha kutafuta kiki basheeeee nfyuuuuuu nenda zako ulikotoka

    ReplyDelete
  7. kabanwa hasa na JPM MPUMBAVU HUYU MSIMRUDISHE NYUMA RAIS WETU WALA MSIMKATISHE TAMAA KAA BUTI JPM KIZURI MUNGU ANAMTETEA NA ANAMPIGANIA KWANI NI KIONGOZI WA AINA YAKE KUTOA MAISHA YAKE KWAAAJILI YA WENGI LIKE JESUS BASHE KALALE KAMA UMESHAKULA CHAKULA SUBIRI KUCHE UTAFUTE KIKI NYINGENE HATUKUELEWI NG'OOOOOO HATA USEME UTOE MISHIPA YA SHINGO UTASUBIRI SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad