Niligundua Harmonize Alikuwa Ananipenda Lakini Alikuwa Anashindwa Kuniambia – Wolper

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper ameweka wazi jinsi yalivyoanza mahusiano yake ya mapenzi na hit maker wa wimbo ‘Bado’ Harmonize kutoka WCB.

Akizungumza Jumatano hii katika kipindi cha Take One Cha Clouds TV, Wolper amesema alitokewa na Harmonize wakati sahihi ambapo ameshaachana na mkongo wake ambaye alivyalisha pete.

“Rajabu (Harmonize) sijamjua hivi karibuni, nimemjua siku nyingi sana na nilikuwa namchukulia kama wasanii wengine wa muziki,” alisema Wopler.

“Lakini kwa mimi nilikuja kugundua Rajabu alikuwa ananikubali siku nyingi, tukawa marafiki. Lakini katika kumbukumbu zangu na vitu ambavyo nimevipitia, naamini kwamba Rajabu alikuwa anashindwa kuniambia. Lakini alikuja kunitamkia mimi wakati nipo kwenye wakati mgumu sana, kwa hiyo tukajikuta kunakuwa marafiki na baadae wapenzi,” aliongeza.

Wopler amesema ana mwezi mmoja na wiki mbili toka aingie rasmi kwenye mahusiano ya mapenzi na Harmonize.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili lijizeee limama lizima hata haya halina na Harmonize wake tumewachoka.Kha!!! Waende wakakojoe wakalale huko.

    ReplyDelete
  2. Hawa takataka watoke hapa

    ReplyDelete
  3. Huoni hata aibu bibi mzima kutembea na kitoto kidogo Acha kwanza bangi utolewe hilo pepo la ngono hapo umaweza barikiwa mme mwema

    ReplyDelete

Top Post Ad