Breaking News:Asha-Rose Migiro ateuliwa kuwa Balozi wa Uingereza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.
Dkt. Asha-Rose Migiro ataapishwa kesho Alhamisi tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumechoka na sura hizo hizo kila siku kwani waliosoma hapa nchini Ni hao hao, hakuna jipya kwa serikali hii nayo

    ReplyDelete
  2. mhhhh! ngachoka mie sisi wengine hamtuoni kila siku kurudisha watu wa kikwete tu., na wewe magu chagua wako acha makombo!

    ReplyDelete
  3. Kama wajibi anaijua WA kuzidisha urafiki baina ya nchi zwtu mbili na kuangalia nyanja za ushirukiano WA pamoja kwa masilahi ya nchi set with equal balanced opportunity na kuwa wezesha vijana qetu kupata furusa za kimasomo na kuleta technology transfer and creation of jobs..she deserve it..naamini JPJM HACHAGUI KWA URAFIKI AU KUJJUA AU MTOTO WA MJOMBA NA SHANGAZI..ITS PERFORMANCE AND MERIT..DADA ASHA HILI NI JUKUMU WANALOKUPA WATANZANIA KWA MASILAHI YA NCHI..JPJM USIMWANGUSHE...NA USIVURUNDE

    ReplyDelete
  4. huyo bado ni dada asha au bibi asha?

    ReplyDelete

Top Post Ad