DUDU Baya Achoka Maisha ya Umaarufu..'Nashindwa Hata Kununua Vitumbua'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dudubaya kupitia kipindi cha Planetbongo amekiri kuwa kuna wakati anajutia maamuzi yake ya kutaka kuwa maarufu na kuwa maarufu kwani yanamfanya aishi maisha ambayo si yake kwani akifanya vitu vingine baadaye vinageuka stori mitaani na mitandaoni.

"Kuna wakati huwa nasema kwanini nilitaka kuwa star na nikawa star kwa sababu kuna wakati mwingine unatamani kufanya jambo fulani lakini unashindwa kufanya kutokana na umaarufu wako, maisha ya umaarufu magumu sana haya mambo yanatukuta hata mtaani mfano unaweza kuwa unakaa uswahilini unakaa Manzese, Tegeta, Mwananyamala mtu mwingine anaweza kukudharua kumbe ni maisha ya kawaida kama watu wengine. Mfano mzuri mimi napenda sana mihogo na vitumbua lakini nashindwa kwenda kununua mtaani kwani nikisema niende tayari watu wanaleta skendo mtaani," alisema Dudubaya.

Dudubaya anaonyesha kuwa maisha ya kuwa maarufu ni mzigo mzito kama ambavyo Fid Q alishawahi kusema kuwa 'u Superstar' ni mzigo wa mwiba ukiubeba utaumia
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana lolote njaa inamsumbua tu kwani alikuwa hajui yote hayo

    ReplyDelete
  2. Hana umaarufu wo wote. Naamini hata akirudi Shinyanga arudie kazi yake ya mwanzo ya utaniboi watu hawatamaind

    ReplyDelete
  3. KUMA LAKO DUDUDBAYA SASA UMAARAFU WAKO WA TATOO AU!!?

    ReplyDelete
  4. dudu baya umaarufu wako uko wapi mbona unaonekana umechoka sana, na yule adui yako Mr Nice pia choka ile mbaya kajaribu kuweka video mpya lakini hakuna wa kumsikiliza muda wenu wa umaarufu ulishapita waachieni akina Diamond

    ReplyDelete

Top Post Ad