Diva Azungumzia Mabusu yake na GK Yaliyozua Mjadala Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diva the Bawse anasema hataki kusikia kitu kinachoitwa ‘mila na desturi’ za Mtanzania hasa pale anapofanya kitu kinachompa furaha.

Wiki hii mtangazaji huyo wa Clouds FM amesababisha mjadala mkubwa kwenye Instagram baada ya kupost video inayomuonesha akipigana French kiss na mpenzi wake rapper GK.

“Trying kanye west n kim k yummy tongie crazyyy kiss… guess what. wedding very soon #theregoesmybabyyyyy,” aliandika kwenye video hiyo.

“Nataka niishi the life that I want, mimi I don’t live to please anyone. I just live me as Diva, I just want to be happy,” Diva ameiambia Bongo5.

“The kiss to happiness – tongue kiss is the key to happiness ndio maana mimi sioni ajabu kumkiss mtu.” Mtazame Hapa:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ulikuwa umepotea watu tukawa tunapumua mtandaoni na bla bla zako sasa umeibuka tena mtoto wa kike hilo ulilolifanya sio jipya kabisaaaa hilo lipo tangu enzi za Adam na Eva au dizaini ya kutafuta kick kiaina

    ReplyDelete

Top Post Ad