Kesi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Zanzibar Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mtoto Wake Yatupiliwa Nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kesi ya Faki Dadi Faki yatupiliwa nje maana binti ni mtu mzima ana miaka 21 though yuko form 6. Na sio mtoto wa kumzaaaa so hakuna incest.Na wala binti hakumshtua mamake ilikuwa Ndo mchezo wao mama mtu aliwafatilia mwenyewe.. Hata ile video ukiangalia utamuona binti anavaa chupi huku anapiga kelele analia... Mtu alie panga na manake Kweli anavua Hadi chupi??? Mimi kilichonistua kuhusu story ya Kuwa binti alisema Kwa mamake ni jinsi alivyo Kuwa analia Kwa mshtuko huku akivaa chupi..So conclusion hapa ni kwamba wooooooote wawili they are to blame because binti ni mzeee mzima.. Wengine 21 Tayari tuna mimba za kina Bhoke, 21 ni mtu na akili zake timamu za kujua asitembeeeee na babake.... Angekuwa 16 tungemtetea Ila Kwa 21 Hapana aiseee....

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DUU SIAMINI KAMA IMETUPWA.BINTI SI NI MWANAFUNZI?? !!!

    ReplyDelete
  2. wanafunzi wa siku hizi wakidigital wapana na mambo wanayaweza! mbona hiyo kesi inaonekana tu kuwa feki walitaka kumkomoa mzee wa watu wakatengeneza dili.,, hizi ni zama za makufuli pombe!! hakuna longolongo,, mambo ya kuwa babu seya watu yalishapita enzi za jk.

    ReplyDelete

Top Post Ad