‎Mange‬ Kimambi Afunguka BAADA Ya ‪‎KUSAMBAA‬ kwa Video ya ‪MAKAHABA‬ waimtukana Rasi ‪‎Magufuli‬ na Paul ‪‎Makonda‬

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Blogger Maarufu Amefunguka haya Hapa Chini:

"mangekimambi_ Wengine tunamtukana Magufuli Kwa kutupokonya #bungelive Wengine wanaomtusi Kwa kuwanyima kujiuza..... Nimechoka kabisaaaaaa
.
.
Huyo dada ndo kiongozi wa machangu Dar.... Eeh na wenyewe wana viongozi wao ...
.
.
Ila Magu hajajua jinsi ya Kuwa successful dictactor . Yani hajajifunza how to manage udictactor na wananchi wakatulia ajifunze China. China wananyimwa Kila kitu, no internet sijui social media Yani China hakuna cha Instagram, Facebook wala ushenzi huo, Au hata blog hizi za blogpost hazipatikani, hakuna kuikosoa serikali na wananchi hawafurukuti hakuna anaelilia Facebook wala bungelive, Yani wachina hawana time Unadhani ni kwamba wanaogopa jeshi Lao?? hamna ni kwamba wameridhikaaaa, Yani wananchi wa China wanapewa Maisha mazuri, umaskini unapungua Kila siku, economy inakua Kila siku, GDP inapanda Kila siku, social care nzuri, kibiashara nchi Sasa iko juu ya dunia nzima , Elimu ya China iko juuu Kila siku inazidi Kuwa nzuri, ukiacha Hiyo wananchi wa China wanaachwa watiane wanavyotaka, wajiuze wanavyotaka, China umalaya nje nje, Kila kona unaulizwa ' you want massage?' nakumbuka Hong Kong unakuta mtaa mzima ni madanguro tu wachina wanajiuza tani Yao, Yani ni K yako inaweza kuhimili mechi ngapi hakuna wa kukubugudhi.Sasa watu Kama hao Unadhani watajali eti Raisi awe dictactor?? Hakuna atakaejali maana vitu vya maana wanapata vyooooote. .

Yani ukitaka Kuwa dictactor make sure nchi haina umaskini, Kila mtu ana Maisha mazuri, mhospital mazuri, dawa za kumwaga na watu watu wanafanya NGONO Kwa kujinafasi. Hivyo vitu viwili usipowapa wananchi Alafu unaleta udictactor lazma utanyonywa kamasi za pua na wananchi . binadamu wanataka 2 things only, pesa na ngono finish. Sasa Magufuli yeye Pesa za kuwapa watanzania hana umaskini ndo umezidi Sasa Hivi watu chai wanakunywa bila sukari , watu shida zimewajaaa Hadi makalioni, mpaka Elimu majanga Yani watu hawana future, wanafunzi wanatolewa vyuoni wanaambiwa warudi majumbani, uwiiiiii Alafu na ngono anakataza, ,,, yani Inshort watu hawana hela Alafu na ngono pia wanabanwa then hapo hapo Raisi anataka kuleta udictactor no Bunge live, no kumsema kwenye social media , weeeeee hapo udictactor lazma ufeliiiiiiiiiii" Mange

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeingia Choo cha Kiume mbwa wewe.
    Paragraph yako ya kwanza jibu ndilo hilo.
    "Sometimes they want to block news from spreading, but generally that's not something they actually care about. What they're mostly concerned with is virality. The ability for a post to be easily spread to millions of people. Twitter and Facebook have this ability; and Youtube enables it somewhat, too. Also, coincidentally, major blocked sites also tend to have Chinese domestic competitors; so it's a protectionist thing, too. The ability of a post to go viral on Chinese sites is controlled and monitored to an extent it is not in the West. (And you better believe it's monitored in the West.)"

    "Simple answer: It is to protect the Communist Party of China, who currently has an authoritarian strong hold over China, and it's people. Blocking access to many "western" sites they are able to limit interaction with the outside, and therefore people will not be able to see how other governments are organized. And the people have a harder time communicating with one another so aggregating interests is harder."

    Kwa hiyo sababu ya kusema eti wananchi wake wameridhika sio kweli kabisaaa ni uongo wako uliokithiri wewe Mange Kimambi Mavi. Huna lolote lile.

    ReplyDelete
  2. PROSTITUTION IN CHINA IS ILLEGAL.

    "Prostitution is illegal but practiced openly. Prostitutes work out of five-star hotels, karaokes, entertainment centers, dance halls, boxing clubs, beauty parlors, hairdressers, barbershops, saunas, bathhouses, massage parlors, nightclubs and on the streets. Prostitutes operate openly in almost every major hotel in China. In one survey, 10 percent of sexually-active men admitted having paid for sex with a prostitute. Single foreign men often receive phone calls from prostitutes in their hotel rooms."

    "A study of the sex industry in rural China found---a lot of young girls want to get rich so badly and want to make use of their beauty before it slips away. They consider working hard a waste of time and feel their looks are a waste if they don't take advantage of them immediately."

    Acha uongo wako wewe Mange Kimambi suala la umalaya pale China ni Illegal.

    ReplyDelete
  3. Wewe mwanamke hujui ni kitu gani unachoongea. Una matatizo makubwa ya Akili. Inawezekana kabisa una tatizo la mtindio wa akili. Serikali haiweze kuruhusu huo Umalaya unaouzungumza. Hicho ni kichaaa.Na kama unajaribu kulete hiyo taswira kuwa Mh.Magufuli ni Dictator basi hapo umeshindwa. Na hoja yako haina mashiko. Na wasiwasi na aina ya maisha unayoishi wewe na familia yako.Na pia sijui shule yako ni ya kiwango gani. Kwa kujaribu kuhusisha Ngono na Maisha mazuri sijui na nini na mambo ya utawala huo ni upuuzi mkubwa uliokuwa nao wewe Mange Kimambi. Kumbuka kuwa maisha mazuri hayaji hivi hivi kwani inahitaji uwajibikaji wa hali ya juu sana na sio kwa upande wa serikali tu kwani ni pamoja na wananchi wenyewe. Ni jukumu la wananchi wenyewe kuwajibika na kufikia hiyo hali nzuri ya maisha. Kwa hiyo hicho kitu unachojaribu kutuaminisha kuwa Ngono na Maisha mazuri ni matokeo ya Utawala wa Serikali ni uongo uliotukuka na unaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa punguani na ulivyokuwa na akili fupi. Nyang'au mkubwa weee

    ReplyDelete
  4. Wewe Mange kimavi umekunywa pombe ya aina gani mpaka utuletee ukichaa wa china. Wachina hawakupanda miti ya pesa walianza kwa kufanya kazi kwa bidii kama Raisi wetu Magufuli anavyofanya na kukusanya kodi n.k. Wewe unaweka ngono mbele. ngono bila pesa haviendi kwani Watanzania hatutaki umalaya na ushindwe kabisa na ilo pepo la ngono ubaki nalo huko uliko. Bunge live wala siyo muhimu kwetu. muhimu kwetu ni amani na maendeleo. laana zako kapelekee wachina hawana hata mpango ila kuiba na biashara feki ndo maana hawarefuki na macho yao ya kobe.

    ReplyDelete
  5. Mange umalaya umeuzoea peke yako na inabidi ukapimwe akili, kiki hazitafutwi hivyo boya wewe,. kumbe nilivyosikiaga unajiuza nje ya nchi ni kwelii, koma wewe hizo bangi zako za chooni zitakufikisha pabaya,,,, nyau wa mwisho wewe

    ReplyDelete
  6. PELEKA UMALAYA WAKO HUKO MAGE KIMAMBI TENA HUNA AKILI UNAFIKILI KUUZA UCHI NDIO MAENDELEO AU UNAFIKILI WACHINA WALIENDELEA KWA KUWAWEKA MABINTI ZAO REHANI KWA KUUZA UCHI TUMIA AKILI UNAPOONGEA MAMBO MUDA WOTE. USITOE MATAMKO UTAFIKILI UNAMPA MTU TAKO LAKO MALAYA MKUBWA WEWE UMEONA UMALAYA NDIO DILI

    ReplyDelete
  7. China ipi unayozungumzia wewe Mange?muongo sana,hao wachina wangekuwa na maisha hayo unayosema wewe wangeng'ang'ania huku bongo na kutuibia kila siku?umechemka,kwendraaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  8. kwanza hilo malaya nasikia limeachika kwa mme wake ndo maana linahalalisha umalaya wake - pumbavu sana huyo malaya mange, apeleke ujinga wake huko huko aliko asituletee sisi shombo lale la umalaya na akome kabisa mjinga sana

    ReplyDelete
  9. Nyumba ya mamilioni ya kimarekani anayoishi Mange dumbukia humu:
    5487 Blanco way Culver City CA 90230 site:zillow.com

    ReplyDelete
  10. KP nitafute 213639-4500 ubuyu

    ReplyDelete
  11. Wanakuonea wivu

    ReplyDelete

Top Post Ad