Madhara ya Spika na/Au Naibu Kuwa Mteule wa Rais sasa Yanaonekana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sio siri tena kuwa Dr. Tulia aliteuliwa na Dr. Magufuli awe Mbunge kwa lengo la kupata nafasi ya Unaibu Spika baada ya mpango wake wa kugombea Uspika kuonekana kugonga mwamba.

Aliyemshinikiza Rais Magufuli kuwa Dr. Tulia ana weledi wa kuweza kuwa Naibu Spika hatumjui lakini ni wazi alimdanganya au Tulia mwenyewe ndiye amejisahau na kudhani kwa vile cheo hicho kapigiwa chapuo na Rais basi Spika sio chochote wala wabunge hawana cha kumfanya.

Ni wazi analivuruga bunge na litavurugika hasa. Haelewani na uongozi wa Bunge kwa kukurupuka kwake, na ana haribu mahusiano ya serikali na wabunge wa pande zote kwa kudhani anaiokoa serikali ya mteule wake.

Amesaidia kuweka wazi kuwa mteule wa Rais hapaswi kuongoza muhimili unaoisimamia serikali. Njia sahihi kabla mambo hayajaharibika kabisa ni yeye kujiuzulu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Udaku sijui mwandishi wa hiyo Makala hapo juu. Lakini the way i read its a personal attack. Which should not be!!!

    ReplyDelete
  2. Udaku sijui mwandishi wa hiyo Makala hapo juu. Lakini the way i read its a personal attack. Which should not be!!!

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa
    Yeye ndo jipu bungeni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana Si Kweli!!!!
      Huyu Mama anafanya wajibu wake unavyo stahiki .. ila kuna baadhi wa washiriki na muona Noma.. kwa Ufanisi wa uwajibikaji wake... Hongera Mama endelea wataku jaribu katika visa vingi na Imani kwa Ujasiri na Utendaji wako utafaulu manake wanakuona huwapi nafasi ya Mchezo na ujanja...

      Delete
    2. Hapana Si Kweli!!!!
      Huyu Mama anafanya wajibu wake unavyo stahiki .. ila kuna baadhi wa washiriki na muona Noma.. kwa Ufanisi wa uwajibikaji wake... Hongera Mama endelea wataku jaribu katika visa vingi na Imani kwa Ujasiri na Utendaji wako utafaulu manake wanakuona huwapi nafasi ya Mchezo na ujanja...

      Delete
  4. wanakurupuka

    ReplyDelete
  5. Hili ni jipu lililoletwa na migiro toka usdm
    Limepitapita bila kuwa uzoefu wowote
    Tunatajuwa mengi sana lakini kitu kina mwisho yeye na migiro wake
    Kupewa ubalozi uk fyuiuuui
    Kama un alifukuzwa kwa uzembe na kutojuwa kazi
    Magufuli kazi unayo

    ReplyDelete
  6. Hakuna madhara yoyote yale ni upuuuzi tu wa hao wapinzani

    ReplyDelete

Top Post Ad