Picha: Wema Sepetu aja na mradi mpya ‘Wema na Jamii’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu ameamua kurudisha kwa jamii.

Miss Tanzania huyo wa zamani na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.

Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.




----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asipeleke mapepo yake ya ngono kwa watoto wetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uwe japo na shukrani ukipewa ukijatazama hapo we umeshatoa kwa nani....mfyuuuuu

      Delete
    2. Akwendree na majanaba yake. Awakome watoto wa watu. Tasa mgumba weeee

      Delete
  2. Safi wema, naona sasa umekuwa achana na skendo zisizo na lazima.

    ReplyDelete
  3. Go go Wema,God bless u.

    ReplyDelete
  4. Wewe usiye na mapepo ume peleka nini ktk jamii yako?Mbulula wewe.Acheni ushabiki wa kijinga,mtu akifanya vema apongezwe,kama huwez kumpongeza kaa kinya.

    ReplyDelete
  5. Wewe usiye na mapepo ume peleka nini ktk jamii yako?Mbulula wewe.Acheni ushabiki wa kijinga,mtu akifanya vema apongezwe,kama huwez kumpongeza kaa kinya.

    ReplyDelete
  6. shika adabu yako wewe mbwa mwitu. Anony 6.36 PM. huna fadhila wala ihsani watoto hata paka anao. mwache Wema afanye lenye kheri.

    ReplyDelete
  7. hongera wema. !!! kaza buti maneno ndio challenge yasikuvunje moyo. onyesha umebadilika!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad