Vanessa Mdee na Shilole Wamaliza Beef yao Jukwaani...Picha Ilivyokuwa Nimekuwekea Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao.



 Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, Hamisi Mandi ‘B12’, akiwakaribisha Shilole na Vanessa Mdee tayari kwa kufanya shoo hiyo.



 Shilole akifanya makamuzi.



 Vanessa akikamua jukwaani.


 Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.


WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.


     Shilole (kulia)  akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shilole hupendezi hivyo ulivyovaa,punguza hilo tumbo

    ReplyDelete
  2. Stress kibao anafikiri njia ya kuzipunguza ni kula kula hovyo chips mayai kuku kumbe bomu kitambi hicho kinakutoka mwanamke mzuri kuwashinda wasanii wote wa bongo movie hahahaaaa my God

    ReplyDelete

Top Post Ad