Wema Sepetu Adaiwa Kufulia na Kutembelea Usafiri wa Bajaj..Mwenyewe Afunguka Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.

Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine na maisha yote anastahili kuishi.

“Jamani sijui mijitu mingine ikoje? Bajaj ni usafiri kama usafiri mwingine, sasa cha ajabu nini mimi kuutumia? Mniache na maisha yangu,” alisema Wema.

Chanzo:GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado huo ni mwanzo tu. HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  2. Hahaha na badooo. Mpaka bodaboda utapanda. Unatumia 1.2mil kwa nywele hata hela ya taxi inakushinda !!. Yule mwanao wa kufikia nae kafulia. Mmebaki kaa mitego mbili hamkai tatu hamkai. Waume za watu siku hizi wanakuogopa na waliowahi wamekula tigo na kurudi kwa wake zao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mama zako

      Delete
    2. Lina Sanga, mkewe CK , and many others hahahahahaha

      Delete
  3. Biashara ya nyapu imebuma. Utaisoma namba mwaka huu. Na sauti yako kaa umebanwa na mavi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yanakutililika tu kama uhalo

      Delete
    2. Tena uhalo wa Wema unaotoka kwenye tako la kuungaunga

      Delete
  4. ulitangaza ndoa wewe na Idris siku ya ndoa yenu Idris atakupandisha katika baiskeli, he he he

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watakodi bodaboda wakae mshikaki. Ka post picha insta ile ya sketi ya kitenge. Viguu kaa french bread. Bi Wema kwishney. Eti mimba feki ilikuwa ya twins..angekuwa na mimba si tungehama nchi.mfyuuu mimbaaaa

      Delete

Top Post Ad