Wolper adai amefilisiwa na Mkongo , amejikuta hana gari wala sehemu ya kulala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.

Akiongea katika promo ya kipindi kipya cha Take One ambacho kinatarajiwa kuruka Jumanne hii, Wolper amedai yeye ndiye aliyetendwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake, kwani wakati anaanza naye mahusiano alikuwa ana gari na nyumba lakini baadae akijikuta hana hata sehemu yakulala.

Muigizaji huyo ambaye amekuwa akionyesha uwezo mkubwa katika filamu zake, amedai alikuwa anajilipia nyumba kwa dola, lakini ulifikia wakati akafilisika na kuanza kulala hoteli.

Wolper amedai mahusiano hayo yalimsababishia kugombana na baadhi ya watu wake wa karibu ambao walikuwa wakimshauri vizuri, lakini yeye alikuwa akiwaaona kama wanamfitini.

Muigizaji huyo ambaye amewahi kutamba na filamu yake Tom Boy, kwa sasa anatoka kimapenzi na hit maker wa wimbo ‘Bado’, Harmonize kutoka WCB.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amejifilisi yeye mwenyewe kwa upumbavu wake hovyooooooooooooo

    ReplyDelete
  2. Hv kulipa kwa kutumia dola ndo kuwa na hela?aliyefilisika analala hotelini?

    ReplyDelete
  3. nyie wadada wa kibongo mnafanya mchezo na bana congo?hiyo mutu ya congo iko penda starehe itakulisi kila kitu.

    ReplyDelete
  4. biashara yoyote ina faida na hasara, we ulitaka upate faida tu? na hao wateja wenu wanawachoka mnawagonganisha sana, leo akupeleke south kwa nauli yake akulishe na huduma zote papuch yenyewe ya kichaga haina mauno!!! ataacha kujirudishia gharama zake na hizo bishara zenu msipoangalia mtafia mahotelini,.. halafu hiyo biashara yenu JPM haioni nini?? kwa nini hamlipi kodi na mnauza ndani na nje ya nchi,,. wewe ni jipu pia!

    ReplyDelete
  5. Hivi kwanini bongo movie wanajisifia kulipa kodi na kununua magari? au ni mwiko kujenga. hizo pesa mnazotangaza mmenunua maweaving na nguo mngenunua matofali na cement sasa hivi mngekua na nyumba kumi kumi. Elimu, Elimu, Elimu. Nendeni hata ya watu wazima mtoke gizani. mnatia aibuu.

    ReplyDelete
  6. Huenda hata Gari hajawahi kumiliki bali alikuwa anaazima tu kwa michepuko yake. Mfyuuuuuuuuuuuuu. Hizi kiki mnazisakaje???

    ReplyDelete
  7. Mimi bacongo nakula yake na kubeta,hapana kaaga kwa nyuma!

    ReplyDelete
  8. Ok, kwa maana hiyo ameamua kujishikiza kwa dogo kwa sababu hana mahali pa kulala? Dogo anatakiwa kuwa muangalifu asijekubali kuhonga gari aliyonunuliwa na almasi, kwani inaonyesha bi-dada bado yupo safarini anachohitaji kwa sasa ni usafiri na sehemu ya kulala. Kazi mnayo wapenda umaarufu usio wahusu.

    ReplyDelete
  9. Kafilisika hana pa kukaa, ndio kaenda kwa dogo kujishikiza kisha anasema anampenda mm!! akipata mwenye pesa tu nduki.. Dogo hizo pesa bora ungemjengea mama yako nyumba bora hapo kijijini.

    ReplyDelete
  10. Mtenda siku zote hutendewa....

    ReplyDelete

Top Post Ad