Benki Zaanza Kuwakamua Watanzania kwa Kuongeza kodi (VAT) ya 18%

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukifanya muamala wowote wa kutoa pesa benki kuna makato mfano kwa CRDB ni 2,200. Maana ya hii kodi ni kuwa sasa utakatwa TZS 2,596. Vile vile ukifanya malipo kwa njia ya TISS makato yalikuwa ni TZS 10,000; kwa sasa utakatwa TZS 11,800.

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unaweza ukashangaa ukakatwa zaidi ya hiyo!!! mbona patakuwa hapatoshi nguo kuchanika!!! haya bwana ngoja tujenge nchi.

    ReplyDelete
  2. wakamue baba magu,wawe chadema,ccm au cuf wewe kamua baba,si wanajipendekeza mpaka wajue wewe ni nani,uzuri wa kodi haichagui wewe ni chama gani,KAMUA BABA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KUJIPENDEKEZA?KI VIPI.TUNAJUA MAGU HAYUKO KWA WATU WA CCM TU.KWANI WEWE UNAPOPITA BARABARANI UNAONA TOFAUTI YA VYAMA?
      NI SIASA NDIO LAKINI JARIBU KUTUMIA HEKIMA KWENYE KAULI ZAKO.

      Delete
  3. tulupunguziwa kodi ktk mishahara halafu kodi za kibenki zinapanda,naona tupo palepale

    ReplyDelete
  4. Hahahaahahaahahhahhhaha hhaaahhah hahahahah hahahahah hahhahah hahahha hahahah hahahah hahhahaha hahhahhah hahhaha....mwenye uelewa ndani ya hiki kicheko changu keshapata ujumbe...

    ReplyDelete
  5. Ikiandikwa kwam 18% huwezi kuelewa lakini katika Utekelezaji itaeleweka vizuri sana. Kwahiyo tusubiri utekelezaji sababu kwa sasa wanasiasa wanaitumia mwanya wa uelewa mdogo wa wananchi kuitafsiri vibaya. Nadhani tusubiri kidogo, itaeleweka.

    ReplyDelete

Top Post Ad