AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mungu ampe ujasiri mzee wetu Onesmo Nangole wala asihangaike na Rufaa, twende na hawa magamba tukawaambie namna ambayo Umma unawachukia kwasasa... Tutawapeleka mpaka mtajuta kushiriki uchaguzi.... Mtakuwa wepesi kuliko ile pamba... Yaani nyie maccm tukikutana huko mtaomba uchaguzi uishe ili mkimbie aibu... Ni huzuni kwa mzee wetu kuenguliwa ila itakuwa somo sahihi kuiambie ccm namna ambavyo Hawapo na UMMA tena.... Twendeni Longindo......
By Henry Kilewo
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Kileo yako yalikushinda utayaweza ya mwenzio. rudi upaleni uone si walikubwaga wwew
ReplyDeleteSasa hivi watanzania tumeamka,haiijalishi unatoka chama gani kama umefanya vizuri tutakuchagua,kama ni wa kupiga kelele tu inakula kwako.Kilewo alikuwa akija kuomba kura tunakuwa watu wachache nikajua tu huyu safari imeisha.
DeletePamoja sanaa kamanda kilewo.....
ReplyDelete