AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hiyo inakuwa ni mara ya tatu kwa Muro kuitwa na anatakiwa kufika Julai 02 katika ofisi za TFF saa Nne asubuhi au kama atashindwa kufika basi atume mwakilishi wake au utetezi wake kwa njia ya maandishi.
Muro amethibitisha hilo na kusema kuwa amepokea barua hiyo na hii ikiwa ni mara ya tatu na katika mara zote amekuwa anashinda kwa hoja na kwa.wakati huu mkakati wao mkubwa kuona nafungiwa kujihusisha na masuala ya mpira na zaidi anashangaa ni jinsi gani wanasema amewashambulia kupitia vyombo vya habari.
Barua hiyo inamtaka Muro kujitokeza siku hiyo au hata kama hatoweza kufika basi atume utetezi wake kwa maandishi au mwakilishi wake na hata kama hatofika basi kikao cha kamati ya maadili kitaendelea kama kawaida na watatoa maamuzi kama kawaida.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mimi sio shabiki wa Muro,lakini
ReplyDeleteTFF kuweni makini na hili na sio kutaka
kumkomoa Muro,nawaambieni tena kuweni makini.
NIMEMALIZA.
Wapenzi wa soka nchini kuna JIPU kubwa TFF ambalo wengi wetu tunalijua lakini sijui kwa nini viongozi wa wizara husika wanakaa kimya. Wanamuogopa au kumwonea haya MALINZI ? TFF kwa sasa haina muelekeo mzuri, kila siku matatizo wilayani, mikoani na nchi nzima. Sijui ana nia gani na soka letu, kwani hata wafadhili wamechoka na uozo wa TFF. Mheshimiwa Nape, uwezo unao na hoja zipo wazi, nakuomba ulishughulikie jipu hili otherwise litakua janga la taifa ambalo hata wewe Mheshimiwa litakukumba.......
ReplyDeleteWapenzi wa soka nchini kuna JIPU kubwa TFF ambalo wengi wetu tunalijua lakini sijui kwa nini viongozi wa wizara husika wanakaa kimya. Wanamuogopa au kumwonea haya MALINZI ? TFF kwa sasa haina muelekeo mzuri, kila siku matatizo wilayani, mikoani na nchi nzima. Sijui ana nia gani na soka letu, kwani hata wafadhili wamechoka na uozo wa TFF. Mheshimiwa Nape, uwezo unao na hoja zipo wazi, nakuomba ulishughulikie jipu hili otherwise litakua janga la taifa ambalo hata wewe Mheshimiwa litakukumba.......
ReplyDelete