Sasa ukija swala la kudo iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngp usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana.
Hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe mwanamke hela wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi? Hapo umemtoa out mmekula, kunywa, hela ya lodge n.k, gharama ushatumia kama laki na nusu bado tena umtoe hela?
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
1 Comments
Jitu choyo utalijua tu mwanamke ni gharama kumpa hela si kwamba unamuhonga unampa ajikim kama usafir kurudi anakotoka kuweka vocha ya simu kesho akija kapendeza unafurah kumuona wakat hela hutoi wenzio wanatoa wanamtunza we umebaki kwan lazma nimtoe nyooo...sasa kama umeshatumia laki na nusu kwa gharama zote hizo kwann usiongeze 50 umpe ya nauli...kujifanya kidume kumbe huna kitu mixxeeww....
ReplyDelete