Shilole Aanzisha Label ‘Shilole Entertainment’ Amsaini Msanii huyu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole na Msanii wake Mpya
Msanii wa muziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanzisha label yake mpya ‘Shilole Entertainment’ ambapo pia amemsaini msanii chipukizi aitwae ‘Amaselly’.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘SayMyName’, amekiambia kipindi cha Clouds E kinachoruka katika runinga ya Clouds TV, kuwa ameamua kuanzisha label hiyo ili kuwasaidia wasanii wenye vipaji lakini hawapati nafasi.
“Yeah nimemsani Amaselly aka Gaucho, kwa sababu ni msanii mwenye heshima, amenitafuta kwa muda mrefu, Shilole nisaidie nisaidie, kwa hiyo nikajifikiria, nikaamua kumsaidia,” alisema Shilole
Pia Shilole amesema amemsaini msanii huyo kupitia label yake mpya iitwayo Shilole Entertainment.
Kwa upande wa Amasely alimshukuru Shilole kwa uwamuzi wa kumsaidia huku akihaidi mambo mazuri.

Hii hapa chini ni moja kati ya kazi za msanii huyo ambayo aliifanya kipindi cha nyuma
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahaaaa 'akihaidi'

    ReplyDelete
  2. vichekesho shilole yaaani nimecheka hadi..... wewe kweli mfanya show yaani umekurupuka na label yako haya tupogo tunaangalia

    ReplyDelete
  3. du shilole na label ha ha ha mtu mwenyewe shilole hujafika popote kimuziki shilole unajulikana kwa kufanya show tuu lakini haujulikani kama ni mwimbaji mwenye talent mpaka uumsaidie mtu mwingine katika muziki wewe mwenyewe shilole unahitaji msaada mkubwa sana tu

    ReplyDelete
  4. shishi baby husiwaskilize watu.

    ReplyDelete

Top Post Ad