VIDEO: CCTV za Bunge zilivyonasa Tukio Zima la Goodluck Kuvuliwa ‘Baraghashia’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusimama bungeni na kuomba mwongozo wa spika kuhusu kitendo cha kuvuliwa kofia ‘baraghashia’ na mbunge wa viti maalum CHADEMA Anatropia Theonest. Naibu spika Dk. Ackson Tulia kalitolea ufafanuzi baada ya kupitia CCTV camera za bunge .

Dk. Tulia alisema…
’Mbunge Goodluck Mlinga katika mwongozo wake alilalamikia kitendo cha mbunge Anatropia kumvua baraghashia aliyokuwa amevaa siku hiyo, kitendo kilichomfanya asiwe na sifa ya kukaa ndani ya bunge kama sheria inavyosema‘ –Dk. Tulia Ackson

‘Nimepitia picha za video za siku hiyo na nimejiridhisha ni kweli baada ya kusomwa dua wabunge wa kambi ya upinzani walianza kutoka nje ya bunge na mbunge Anatropia alipita sehemu aliyokaa Goodluck na kumvua kofia aliyokuwa amevaa na kisha kutokanayo nje ya bunge‘ –Dk. Tulia Ackson

‘Kitendo hicho kilikuwa cha kudharau kiti cha spika pia kilikuwa kitendo cha fujo ndani ya ukumbi wabunge, nachukua hatua ya kutoa onyo kali kwa mbunge Anatropia kwamba kitendo alichokifanyi ni ukiukwaji wa sheria za bunge na endapo atarudia sheria mahususi zitachukuliwa‘ –Dk. Tulia Ackson

Full video nimekusogezea hapa chini unaweza kuitazama...

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia kutapika na habari
    Hii hakuna cha maana cha kuzingumizia
    Aliyevaa kanzu ni mwislam au kulikuwa na shughuli ya kiislam
    Alivaa kama fashion
    Na avae hijabu na dira tujuwe moja

    ReplyDelete
  2. Fyuu
    Ila yeye alipoita wabunge wa viti maalumu wa ukawa haikuwa kosa
    Hivi yeye na hao aliowaita baby
    Nani bora
    Yeye karithi ubunge toka kwa mama yak marehemu sasa Nani baby yeye au ,,,,,,,,
    Mtafukuza wote lakini iko siku yatakuwa Kama uk kutoja EU

    ReplyDelete

Top Post Ad