Wabunge wa Kambi ya Upinzani Watoka nje ya BUNGENI Wakiwa Wamevalia Mavazi Meusi na Mabango

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BUNGENI: Wabunge wa Kambi ya Upinzani watoka nje leo wakiwa wamevalia mavazi meusi na mabango.

Wanaendeleza mgomo wao dhidi ya Naibu Spika jinsi anavyoendesha Bunge, wadai anakiuna kanuni za uendeshaji Bunge.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii Bunge movie ya Ukawa ina part ngapi? Wanazidi kujitoa thamani kwa vioja wanavyoonyesha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii ni part 3, itaendelea bunge lijalo, mpaka sterling auwawe!

      Delete
  2. Hapa kuna wengine wanafiki na hapo ndio
    panapoudhi,hayo wanayoyafanya leo kuna baadhi walishawafahamisha wabunge wa ccm,wanafanya mawasiliano na wabunge wa ccm,huko pembeni wanaongea na wabunge wa ccm kila hatua wanayoamua,wapo wengine wanasema wanashinikizwa na wakikataa
    kufanya kama kiongozi alivyoamuru wataadhibiwa.

    ReplyDelete
  3. Hahahaaa wabunge wa upinzani mnachekesha na vioja vyenu. Labda kesho mtavua nguo na kutoka nje uchi.......

    ReplyDelete
  4. Hahahahah! ukistaajabu ya musa utaona ya firauni....WAMEISHIWA. Wenye wabunge wao nawapa pole, wamepoteza muda na kura zao kuwachagua, sasa wameamua kufanya 'Ze Comedy'........hovyoooooooo DR. TULIA, AMEWATULIZA

    ReplyDelete
  5. Kwa mtindo huu, nasikitika kutabiri kifo cha upinzani...!!!!

    ReplyDelete
  6. Kesho watavaa nyeupe tayari kwa kuzikwa

    ReplyDelete
  7. Masikini kura yangu kweli niliwapa watu wenye kufanya ujinga kama huu? Sasa wanafanya hayo ili tuliowachagua tuwaonee huruma au ili iweje? Ni AIBU KUBWA SANA. Kwani rais kakosa nini ingawa cjampa kura yangu lakini kazi anayoifanya huyu Baba ni nzuri sana hata niliyempa kura asingeiweza kusema Kweli. Kama viongozi wa ukawa mnashawishi ujinga huo basi nyie ni mafisadi Papa kuliko hao tuliowanyima kura,inawezekana rais kaziba myanya na ufisadi mpaka Kwa viongozi wetu wa ukawa sasa wanatafuta sababu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kuna wa mikumi nimempa kura yangu kweli anafanya vizuri,lakini kama na yeye anashiriki huu upuuzi mmmh,sijui .

      Delete

Top Post Ad