JWTZ Yakanusha Taarifa za Kuibwa Kwa Kifaru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)  limekanusha taarifa za kuibiwa kwa kifaru  cha jeshi zilizoripotiwa leo na gazeti la Dira  na kusema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowowte huku  likisisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.

Akiongea na  waandishi wa habari leo  kukanusha habari hizo, msemaji wa jeshi hilo, Kanali Ngemela Lubinga amesema jeshi limesikitishwa sana na habari hizo za upotoshaji kwa kuwa zinachafua taswira ya jeshi na taifa kwa ujumla.

Amelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi mara moja na wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si Dhani kama kuna aliamini !!! Lakini tulisoma na kuanza kutafakari kuwa hii yote ni kwa Malengo gani?? na wanataka kutufikishia ujumbe gani? Je gazeti hilo limejipanga vizuri kiutendaji? na wana kiwango?? cha TBS NA ISOO??

    ReplyDelete
  2. Heeee Mbona inatisha!!! Hivo jeshini (Kambini) Hakuna Geti la Kutokea na Kibali?? Au Geti keeper alikuwa hayupo amekwenda kujisaidia ?? Itabidi tujue Magapi watu wamekunywa?? INATISHA MANAKE INAWEZEKANA ZAIDI YA MOJA .. LAZIMA MLINDA GETI AWAJIBISHWE NA MUANDISHI ATUPE IDADI KAMILI YA VIFARU VILIVYOTOKA NA MUDA ULIOTOLEWA NA KWA HIVI SASA VIMEFICHWA WAPI NA HATIMA YAKE ITAFANYA KAZI GANI HUKU USWAILINI NA MANUFAA YAKE YATAKUWA NI NINI KWETU?? au ITAMWAGA DAMU YA MDHAMIRIWA YUKU NA LINI??? MWANDISHI LAZIMA ADODOSWE ILI APATE KUDODOSA||

    ReplyDelete
  3. Heeee Mbona inatisha!!! Hivo jeshini (Kambini) Hakuna Geti la Kutokea na Kibali?? Au Geti keeper alikuwa hayupo amekwenda kujisaidia ?? Itabidi tujue Magapi watu wamekunywa?? INATISHA MANAKE INAWEZEKANA ZAIDI YA MOJA .. LAZIMA MLINDA GETI AWAJIBISHWE NA MUANDISHI ATUPE IDADI KAMILI YA VIFARU VILIVYOTOKA NA MUDA ULIOTOLEWA NA KWA HIVI SASA VIMEFICHWA WAPI NA HATIMA YAKE ITAFANYA KAZI GANI HUKU USWAILINI NA MANUFAA YAKE YATAKUWA NI NINI KWETU?? au ITAMWAGA DAMU YA MDHAMIRIWA YUKU NA LINI??? MWANDISHI LAZIMA ADODOSWE ILI APATE KUDODOSA||

    ReplyDelete

Top Post Ad