Abdu Kiba adai wasanii wa WCB wanabebwa na Promo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Abdu Kiba amesema kuwa promotion ndiyo inawabeba wasanii wa lebo ya WCB.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, “Sijafikiria kuimba na msanii kutoka WCB, kwa sababu sijaona anayeimba type ya muziki wangu.”

“Hata kama wana promote kwa sababu ndiyo walipoona wao ndiyo wanaweza wakafanya na watu wakaweza kuelewa lakini siku zote ajuae hazami,” alisema Abdu Kiba.

Aidha aliongeza kuwa bado hajaona msanii anayeimba type ya muziki wake ndani ya lebo hiyo [WCB].

Hata hivyo mapema mwezi huu msanii huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB kama watakubaliana na kuweka hela mezani kauli ambayo baadaye yeye mwenyewe aliipinga kuwa watu hawakumuelewa vizuri alichomaanisha.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mfamaji haishi kutapatapa sasa wewe bwana mdogo huna sifa zipi za muziki? Au mi ndo sikufahamu vizuri!pole sana kijana we bado huko chini sana kujilinganisha na wale watoto Diamond utasubiri sana dogo.kwanza ubebeki we jiulize sana kwanini kaka Ali anakuacha kila siku nyuma na kujichanganya na wana musiki wengine? Ni kwa sababu bado huko chini sana kimziki dogo.kaza buti utafika.

    ReplyDelete
  2. Ali kiba kakutuma uende WCB kuchunguza na wala ulikuwa utaki kujiunga huko

    ReplyDelete
  3. FANYA KAZI KIJANA ANGALIA MANENO YAKO YASIJE KUFANYA UKAPOTEZA MASHABIKI ZAKO KWA MARMBANO YA KIJINGA. IGA MFANO WA A.Y ANANGALIA KAZI HANA UGOMVI A MTU

    ReplyDelete
  4. UYU ANATAFUTA KIKI KUPITIA WASAFI WEWE UTAFANANA NA RICH AU RAY AU NANI NA VIJIMBO VYAKO VIWILI UNAJIONA STAR KAOGE ACHA KUIGA FALA WEWE

    ReplyDelete

Top Post Ad