Babu Tale Afunguka..Niliitwa Mwizi Kuwa Nawaibia Wasanii Ninaowasimamia..Wakanikimbia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa Diamond Platnumz na Tip top Connection, Babu Tale amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi waliondoka kwake kwa maneno ambayo walikuwa wakiambiwa mtaani na wananchi kuwa ana wasimamia huku akiwaibia pesa zao.

Babu Tale alisema haya kupitia kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai wasanii hao waliamua kuondoka chini ya uangalizi wake lakini kwa sasa wana maisha mabovu na yeye ana maisha mazuri.

“Unajua mtaa ndiyo uliwaambia wasanii waliondoka kwangu kuwa Babu Tale mwizi, na wakaaondoka Tip Top Connection lakini sasa hivi wasanii hao hao walioondoka kwangu wao wana maisha mabovu, wakati mimi na maisha mazuri. Wanakuja kwangu saizi wanataka niwasimamie kazi zao lakini mimi nasema sasa siwezi kwani wasanii nilio nao wananitosha” alisema Babu Tale.

Mbali na hilo Babu Tale alitoa ufafanuzi juu ya ukimya wa msanii Tunda Man na kusema kuwa wakati wake bado haujafika ila ukifika atarudi tu kwenye game na kudai kuwa saizi wana mpango wa kuachia ngoma nyingine ya Dogo Janja.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Funga Domo lako wewe una nini
    Fyuuuuuu
    Uko Kama domooo
    Lakini kila chenye mwanzo kina mwisho

    ReplyDelete

Top Post Ad