Mtanzania Awekwa Bondi na kaka yake kisa Madawa ya kulevya huko India. Sambaza Habari hii iwafikie ndugu zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtanzania amuweka mdogo wake Bondi kwaajili ya Madawa ya kulevya huko INDIA sasa wenye mzigo wamecharuka wanataka pesa zao hali sio nzuri kabisa kwa mdogo mtu Haya ndio maneno yalio sikika akiyasema Mdogo mtu kwenye Video hii.

“Nakaa Magomeni  Mtaa chem Chem na Idrisa kwa hiyo Mwambieni  Juma, Mama yangu anaitwa Rukia Daudi Baba yangu anaitwa Akida anakaa idrisa na Chem Chem mwambieni  Juma amekula Hela za watu mimi kaniweka Gelenta huku ( Bondi ) mama yangu anaitwa Rukia Daudi mama yake mama yake Juma anaitwa Mariamu Rauwa kwaiyo juma afanye arudishe hela za watu Juma anakaa Kunduchi”. kama unamfahamu huyo Juma mama yake mfikishie ujumbe huu..

Sambaza Habari hii imfikie JUMA na ndugu zake kokote walipo..


 Angalia Video hii Hapa..
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmh tamaa hizi jamani

    ReplyDelete
  2. Duuuuh balaaa...jamn...lakn mbona kama haina uhalisia..

    ReplyDelete
  3. Oops kweli jamani hii
    Au utapeli mpya
    Police wa India wanavaa nguo hizi ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe vipi polisi wanahusika na biashara ya unga hao ndo makingpin wanataka chao wapelekeeni

      Delete
  4. Jamani huyu mtu nimemuonea huruma. .ubalozi si wamsaidie?

    ReplyDelete
  5. Hakuna kitu hapo ni geresha tuu hiyo,huwezi ukapigwa na wauza unga halafu waitoe hiyo film!

    ReplyDelete

Top Post Ad