KAULI ya Diamond Kwa Mtoto Wake "Ukikua Chonde Mama Ukitunze Wasikile Sana" Yazua Maneno

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii.

Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjadala mkubwa.

Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao anatimiza mwaka mmoja, Diamond aliandika: Buff day Girl! my little Pumpkin😍 My Miss World 👸 @princess_tiffah kua mama, nikupe Raha ya Dunia na ujifaidie Ustar wako….. ila dah ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana #KIDOGO tu, Maana ntalificha wapi hili sura langu.”

Maneno: Ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana #KIDOGO tu’ ndiyo yaliyosababisha povu la haja.

Hizi ni baadhi ya comments:

Twinsrebeccita: Hivi mtoto hajafikisha hata miaka miwili ushaanza kufikiria masuala yake ya ngono!!!! Maneno ya bure kwako, usitumie utupu wa mwanao kutangaza biashara yako.

Precioushamis: Mungu auTunze usichana wako /ujana wako tiffah, kinywa cha baba yako kishindwe kwa jina la yesu amina

Jahmolbiggz: Daym 😁 did u just wrote that? Any real Dad out there won’t even think of writing such words to her dota.. Shit is Crazy

Madimwashiti: @princess_tiffah never follow your parents foot steps. U need more prayer. @diamondplatnumz better pray for this little girl coz what goes around comes around. Many many little SIMBAS out there want spare you dear. That is my own thoughts. Think about it NASSEB

Neyesu Daniel: Diamond ww sio baba mwema! Utaanzaje kumwambia bint ako ivo!? Umenikera mbna unakosa madil ya kiafrika?? Acha izo bna kama ww una njia ambazo si nzur bc mfunze mwanao akue vema!

Rajabu Mussa: Tena atakua amefuata Tabia Za Huku na huku(kwa maza n baba) maana kote kote hakuna mwenye afazali…….ukila nawe utaliwaaaaa japo #Kidogo

Tuzo Hella: Atii aliwe kidogooo!!! Labda wakati anaandika hiyo post hakuwa poa!!alionja kidogo ile kitu ya Arusha inarushanga akili,coz diamond hukogi na akili mingi sasa alifikiri nn kuandika hayo maneno hayo!!eti mtt akulwe kidogo kweliii!!!! D your not serious

Unaounaje ujumbe huo?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ushamba.com. Pole Zari!

    ReplyDelete
  2. Watakila Tu,mbona WW unakula cha watt WA wenzio?? Kila mla cha mwenzio na chake pia huliwa.kitang'atwaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Umaaarufu mavi ni taaabu hebu wacheki bey na jigga ni maarufu duniani lakn mara nyingi huwa makin na wanachoandika kwenye ac zao...mara chache wakiteleza...na hukumbuka kuomba radhi lakn kwa hili dubwana ye anaona kamaliza ustaa wa dunia hahhaahh...bado sana ndugu...shule nayo ina umuhimu ungesoma we kijana ungejua kipi uongee wapi na kwa nani..shame on you..mixxeeeww

    ReplyDelete
  4. hiyo ni cheni kwasababu babu yake tifa hana mke na bibi yake hana mume tena wa pande zote alafu babayake hana mke na mama yake hana mume hata bayake wakambo ivan hana mke na mamayake wa kambo wema hana mume lakini tiffa tunamwombea aje awe na mume

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maneno makali xn 2jaribu kufikisha ujumbe kwa maneno yenye nafuu jaman 2cingize wazazi kama mond mkosa na cc 2czidi kukosea jaman wazazi uwa hawakosei kwa kila binadam anafaham hivyo na ht akikose huwezi kumwambia

      Delete
    2. Mmmmh hii kali, maanake hizo pande zote zilivyo orodheshwa, hapana Tiffa ni mtoto mzuri ataendelea kuwa mtoto mzuri, mwenye matunzo mema na adabu pia,

      Delete
  5. Hili dumwana liombe msamaha ase. Wat the shit?

    ReplyDelete

Top Post Ad