EXCLUSIVE: Nyumba ya milioni 700 wanayoijenga Navy Kenzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Navy Kenzo ni kundi la muziki wa bongofleva lenye makazi yake Dar es salaam likiundwa na Wanandoa watarajiwa, Aika na Nahreel ambapo hivi juzi walipata dili la kutokea kwenye mabango ya matangazo ya kampuni ya simu.

Ni wasanii ambao pia wamezikusanya pesa zao kutokana na jasho la muziki wanaoufanya ikiwemo tour ya kamatia chini ambayo ni smash hit yao iliyohewani sasa hivi, tazama hii video hapa chini kupata details zote. Video:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Video ya wema afu unasema navy kenzo mixxxeeewww chefuuuu mfyuuuuu

    ReplyDelete
  2. HEEE NYIE VIPI VIDEO YA WEMA HABARI ZA KENZO VIPI HAPO?

    ReplyDelete
  3. MIL.700?KHAA!
    HELA NYINGI SANA KWA MUONEKANO WA HII NYUMBA.

    ReplyDelete

Top Post Ad