Irene Uwoya Asema Angeumudu ‘Ukuu’ wa Wilaya Kama Angepewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu Irene Uwoya amefunguka kwa kusema kuwa kama angepata nafasi ya ukuu wa wilaya basi angefanya vizuri kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa kuongoza.
Irene Uwoyo

Muigizaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa hakuwa na matarajio yakuteuliwa lakini kama angeteuliwa angeitendea haki nafasi hiyo.

“Mimi sijaomba wala sijawai kusema kama nataka hiyo nafasi, lakini kama ikitokea naiweza sana, nipo vizuri sana ndio maana hata nikathutu kugombea ubunge kwa sababu nilijua naweza kuongoza,” alisema Irene Uwoya.

Muigizaji huyo mahiri aligombea ubunge wa viti maalum Tabora lakini akakosa na kuhaidi kujipanga katika uchaguzi ujao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya wewe uwe mkuu wawilaya?
    Shoga jitazame jipime
    Shule umekwenda
    Magu hatoi vyeo vya uzuri wa sura au umbo
    Sahau Kabisa

    ReplyDelete
  2. Elimu Elimu si swala la kupeana tu. Stupid

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe malaya mchanga usiyejuwa kuchamba wala kutawaza
      Si elimu to hata maadili
      Uku wa wilaya ulikuwa bure awamu ya nne
      Magu anampenda mkewe bi Jannet machangu mlie tu

      Delete
  3. Kwa kichwa na elimu gani uliyonayo wewe mama naniiii.... upewe wadhifa huo wa mkuu wa wilaya hiyo siyo sehemu ya kutengeneza nywele kupaka rangi za kucha kujipaka wanja na full time smart phone ipo mkononi mtandaoni unachat please think twice kabla kuropoka hovyo hiyo siyo ule uozo wenu wa kuitwa"BONGO MOVIES"

    ReplyDelete
  4. Kwa kichwa na elimu gani uliyonayo wewe mama naniiii.... upewe wadhifa huo wa mkuu wa wilaya hiyo siyo sehemu ya kutengeneza nywele kupaka rangi za kucha kujipaka wanja na full time smart phone ipo mkononi mtandaoni unachat please think twice kabla kuropoka hovyo hiyo siyo ule uozo wenu wa kuitwa"BONGO MOVIES"

    ReplyDelete
  5. Kipindi hiki sio kama kile cha muda uliopita!! Uongozi sio maneno wala usanii,Si kuhukumu ila sioni kama una kasi ya kwenda na raisi wetu. Kagipange upya!!

    ReplyDelete

Top Post Ad