VIDEO: Edward Lowassa kaongea haya kuhusu wabunge wa upinzani kususia vikao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vikao vya bunge la bajeti ya mwaka 2016/2017 ambalo limemalizika hivi karibuni huku ikishuhudiwa wabunge wanaounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, wakitoka nje na kutohudhuria vikao hivyo.

Leo July 31 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa amezungumzia kuhusu wabunge wa upinzani kususia vikao vya bunge, Lowassa amesema…………..

Tutazame tatizo katika ujumla, tatizo linatokea na Spika Ndugai kuwa na hali mbaya ya afya, namfahamu Ndugai ni mtu makini sana, angekuwa madarakani mambo hayo yasingefikiwa’
Kuna tatizo pale kwanza la psychology., naibu Spika ameletwa kwa njia ambazo watu wanaona pengine hazikuwa sahihi sana na amejichukulia madaraka na anachukua maamuzi ambayo ni magumu kidogo mimi ninawaelewa wabunge wetu’ 
VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Viva baba Edo, hata kama hawapendi Ukweli utabaki kuwa Ukweli. TUWEKE MASLAHI YA TAIFA MBELE KWA KUWA NA UHURU WA KUSIKILIZWA PALE AMBAPO MWANANCHI/KIONGOZI/ CHAMA KINAONA MAMBO HAYAENDI SAWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad